Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo.

Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo.

Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote, inakatwa kidogo kisha ngozi inayobakia huviringishwa mwishoni kabisa mwa shina la uume yaani karibia na kichwa.

Hivyo kufanya kutengeneza kifundo kidogo mfano wa tuta, hivyo wakati wa tendo ni rahisi kuifikia ipasavyo g sport ya mwanamke wakati wa msuguano.

Tohara kwa upande wa hospital.
Hospital wanachokifanya wao ni kuikata ile ngozi yote na kuitoa kisha kushonea kipande kidogo cha ngozi kilichobakia.

Sasa kimbembe kinakuja pale baada ya kupona kwani utengeneza mfano wa kipara mwishoni kabisa mwa uume.
Na ugumu wote huu wa maisha we unawaza namna ya kuifikia G-spot badala ya namna ya kutafuta hela!!?? Uchumi wa kati hatuwezi kuufikia kwa mwenendo huu hata kama tukiipata Katiba mpya.
 
Na napenda kuongezea, waliotahiriwa jando la asili uume wao ni wa motoo na mtamuu mnoo, yaan una ladha halisi ya kibinadamu.

Hawa wa hospital hapana ile ganzi inaharibu kila kitu.

Wanaume waliotahiriwa jando la asili, wapewe maua yaoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeyapokea Maua kwa Mikonyo Miwili
 
Na napenda kuongezea, waliotahiriwa jando la asili uume wao ni wa motoo na mtamuu mnoo, yaan una ladha halisi ya kibinadamu.

Hawa wa hospital hapana ile ganzi inaharibu kila kitu.

Wanaume waliotahiriwa jando la asili, wapewe maua yaoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakugawa
 
Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo.

Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo.

Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote, inakatwa kidogo kisha ngozi inayobakia huviringishwa mwishoni kabisa mwa shina la uume yaani karibia na kichwa.

Hivyo kufanya kutengeneza kifundo kidogo mfano wa tuta, hivyo wakati wa tendo ni rahisi kuifikia ipasavyo g sport ya mwanamke wakati wa msuguano.

Tohara kwa upande wa hospital.
Hospital wanachokifanya wao ni kuikata ile ngozi yote na kuitoa kisha kushonea kipande kidogo cha ngozi kilichobakia.

Sasa kimbembe kinakuja pale baada ya kupona kwani utengeneza mfano wa kipara mwishoni kabisa mwa uume.
Kwahyo ww ni mwanaume na umeandika hivi kabisa alooo unatatizo sehemu sio siri. Na kiufupi g sport ww kuijua labda ulipoingia google ila practically huijui na hujawahi jua lini utaijua
 
Mkuu umefanyiwa tohara kiasili?

Mbona mimi sina hiyo ngozi iliyovingirishwa kwenye kichwa cha uume?,Yangu imechongwa na imenyooka kama rula na bado wakati wa kuchimba kisima nahakikisha maji yanatoka kisimani hadi mwenye kisima anabaki kulia tu kwa furaha!
lipia tangazo mkuu
 
Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo.

Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo.

Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote, inakatwa kidogo kisha ngozi inayobakia huviringishwa mwishoni kabisa mwa shina la uume yaani karibia na kichwa.

Hivyo kufanya kutengeneza kifundo kidogo mfano wa tuta, hivyo wakati wa tendo ni rahisi kuifikia ipasavyo g sport ya mwanamke wakati wa msuguano.

Tohara kwa upande wa hospital.
Hospital wanachokifanya wao ni kuikata ile ngozi yote na kuitoa kisha kushonea kipande kidogo cha ngozi kilichobakia.

Sasa kimbembe kinakuja pale baada ya kupona kwani utengeneza mfano wa kipara mwishoni kabisa mwa uume.
Picha please
 
Back
Top Bottom