Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Kipindi hicho mimi nilikuwa najifanya niko MATURED basi nikawa naandika points tu jamiiforums, nanukuu vifungu vya biblia na kuchati kwa staha.

Baadaye nikagundua kumbe nina FAKE MATURITY halafu pia UJINGA NI MTAMU.

Hakuna kitu kinalipa kama kuwa MJINGAAA, ni raha ya ajabuuuuu.

Wizooo yaani ukitaka uenjoy jf jifanye mjinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Stress free unaweka shida chini, unarusha mikono juu
 
Ni mwendo wa kuogelea kwenye BAHARI YA UZEZETA.

Kwa kweli najisikia faraja sana sijibani bani niko huruuuu naweza kuwa mjingaa jinsi ninavyotakaa naenjoyyyyyyy awwwwhhh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Mambo ya kujifanya ati uko MATURED mwishowe unakufa kwa ghadhabuuu na makunyanzii usoniii hata papuchii hupewiii jamaniiiii....
 
Ilawatu wengi tu Wana IDs nyingi nafikiri weng past zinawatesa unakuta umeandika vitu vingi vya kijinga 😂kunawakat unakitu Cha muhimu unashindwa kukileta kuhofia watu hawatakuchukulia serious
Zile Id's zote niliachana nazo na nikaomba Invisible aziondoe na kuzifuta kabisa, Id yangu ndio hii hii hata hivyo past zangu humu zilikuwa za kujifanya mkereketwa wa CHADEMA kitu ambacho sio ishu ngumu 😅 😅 😅
 
Ni mwendo wa kuogelea kwenye BAHARI YA UZEZETA.

Kwa kweli najisikia faraja sana sijibani bani niko huruuuu naweza kuwa mjingaa jinsi ninavyotakaa naenjoyyyyyyy awwwwhhh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Mambo ya kujifanya ati uko MATURED mwishowe unakufa kwa ghadhabuuu na makunyanzii usoniii hata papuchii hupewiii jamaniiiii....
😂😂Yani ukiwa serious unakuf haraka mno
 
Oi mshamba_hachekwi huyu mwanao Ogaranya ana hoja ya msingi sana kubishana na mleta hii thread, nimefanya utafiti mdogo tu nimejiridhisha 😅 😅 😅
Nasemaje haliwi mtu hapa......

Aendeeee badooo, huko si jf tutawasakizia mpaka mwisho

Muhimbili oyeeeee
1687710570366.jpg
 
[emoji23][emoji23]Yani ukiwa serious unakuf haraka mno
Unaachaje kufa kwa mfano!!!

Najisikia raha sana kuwa chizi, it gives me a lot of possibilities and opportunities... hapa tu nimeshapataa macrush zaidi ya kumii natarajia kunyanduana nao kimaskharaa.

Kwa hali hiii nianze kujifanya niko MATURED ati naandika points sijuiiii niniii THUBUTUUUUUUUUUU
 
Ni mwendo wa kuogelea kwenye BAHARI YA UZEZETA.

Kwa kweli najisikia faraja sana sijibani bani niko huruuuu naweza kuwa mjingaa jinsi ninavyotakaa naenjoyyyyyyy awwwwhhh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Mambo ya kujifanya ati uko MATURED mwishowe unakufa kwa ghadhabuuu na makunyanzii usoniii hata papuchii hupewiii jamaniiiii....

Kabisaa humu ukijifanya mature unakufwaa na kila id utagombana nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuendelee kula raha wizo na kuwakera wenye stress mpk waombe poh!!!!
 
Back
Top Bottom