Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Unaachaje kufa kwa mfano!!!

Najisikia raha sana kuwa chizi, it gives me a lot of possibilities and opportunities... hapa tu nimeshapataa macrush zaidi ya kumii natarajia kunyanduana nao kimaskharaa.

Kwa hali hiii nianze kujifanya niko MATURED ati naandika points sijuiiii niniii THUBUTUUUUUUUUUU
😂😂😂Humu hakuna umatured Wala Nini ni kufurahi tu Kila mtu na character yake userious sometimes haujitajik Kila mahali hongera Kwa kupata mbususu kimasihara 😂😂msakizie na mzabzab hata mbili
 
Kabisaa humu ukijifanya mature unakufwaa na kila id utagombana nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuendelee kula raha wizo na kuwakera wenye stress mpk waombe poh!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Mwendo ni ule ulee wizo, mambo ya kufokeana na watu inahusuuuu!!!!

Lazima ucheke tuuu hata kama una mahasira [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu hakuna umatured Wala Nini ni kufurahi tu Kila mtu na character yake userious sometimes haujitajik Kila mahali hongera Kwa kupata mbususu kimasihara [emoji23][emoji23]msakizie na mzabzab hata mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo tena si ndo mwalimu wangu kwenye utafunaji wa mbususu.... mimi kwake ni kinda sana. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Unaachaje kufa kwa mfano!!!

Najisikia raha sana kuwa chizi, it gives me a lot of possibilities and opportunities... hapa tu nimeshapataa macrush zaidi ya kumii natarajia kunyanduana nao kimaskharaa.

Kwa hali hiii nianze kujifanya niko MATURED ati naandika points sijuiiii niniii THUBUTUUUUUUUUUU

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wizo na bro angu yupo?!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Mwendo ni ule ulee wizo, mambo ya kufokeana na watu inahusuuuu!!!!

Lazima ucheke tuuu hata kama una mahasira [emoji23][emoji23][emoji23]

Haihusu wizo wapambane na hali zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nipe umbea bas wizo wa hao macrush mnaoenda kulana kimasihara jooomoniiiiiii
 
Naona ulikuwa unaoga matusi kutoka Kwa makada😂😂
Achana na matusi kuna siku nilikuwa Zanzibar sasa kuna member humu alikuwa ni kada wa chama tawala halafu ni mtu mzito sasa siku hiyo nikam PM akaniambia sawa tuonane Serena Hotel Zanzibar na akanitumia na namba yake ya simu. Jioni yake nikampigia Simu ikapokelewa ni Bodigadi wake halafu ndio nimefika reception pale Hotel, kumbe yule Member alikuwa ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kwenye kampuni ya gesi na mafuta huko Arabuni. Na pale Serena Hotel alikuwa na kikao na mmoja ya viongozi wa SMZ nilipochungulia ile sehemu aliokaa kuna mabodigadi wanne wamevaa suti. Aisee niliingia ubaridi na ukizingatia humu nilikuwa namjibu kejeli na maneno yasiyo na busara. Mbona nilitaka kukimbia pale Hotel siku ile 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom