Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hatari sana mkaongea mkayamaliza? πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hatari sana mkaongea mkayamaliza? πŸ˜€πŸ˜€
Nikamsalimia vizuri tu. Akaniambia yupo Saudi Arabia kwenye kampuni inaitwa Gulf Petroleum kitu kama hicho. Akaniambia nilidhani utakuwa ni mtu mzima kumbe Kijana mdogo tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I was below 25 yrs 🀣🀣🀣
 
Kuwa makini na GENTAMYCINE Bahat ukutane nae akiwa amemeza vidonge vyake vya kutuliza akili kutokea Mirembe(Hospital ya Vichaa) Tofaut na Hapo The Rest is History,

Enewei ukimaliza Kutana na Malaika wa Misukosuko
Ewe Mwenyezi Mungu uliyenifanya kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na kunipa huu Utajiri mkubwa wa Shani ( Tunu ) naomba geuza hizi Kashfa zote na Matusi yote dhidi yangu kuwa BARAKA zaidi Kwangu huku ukiendelea Kuwalaani na Kuwaadhibu pakubwa Wapumbavu na Waswahili wanaonichukia kwa Kunichagua GENTAMYCINE kuwa juu yao Kiakili na Kiuwezo wa Uwasilishaji wa Kimvuto.

AMINA.
 

Hebu kwanza wewe ke/me?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Kweli asee najua ana discovery 4 noma sana 😎😎😎😎, mganga tajiri huyo waganga wengine wanashindaga tu kwenye vijumba vya udongo 😁😁😁
Hiyo 0km Discovery 4 alikuwa anaipark pale kwake nje Masaki karibu na Petro Brasil halafu anaruka na ungo kwenda zake kilingeni Msata enzi zile. Na ile Range yake ya Burgundy mi nilimkuta nayo Msata kipindi fulani nilikuwa na ishu.

Humu kuna ma-don wa ukweli japo na wa kujifanya wapo kibao πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Umetisha sana, Mkuu
Nakubali sana ur respond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…