Hujisikii aibu kujiuza jf, π€£π€£π€£π€£π€£π€£We nawe kwa kupenda kutaka waambukiza wanaume magonjwa.... Yaani unajaza picha za wanaume tu ukiwatamani..... Hao sijui kama wanatumia hayo mauchafu yako. Hujisikii aibu kutamba una picha za wanaume? Khaaaaaah..... Mfyu.....
π€£π€£π€£π€£ Ngoja akuje.... Patawaka moto hapa. Hiyo namba mbaya sana.... Huwa mwenyewe hajui kuuma uma maneno.Kuwa makini na GENTAMYCINE Bahat ukutane nae akiwa amemeza vidonge vyake vya kutuliza akili kutokea Mirembe(Hospital ya Vichaa) Tofaut na Hapo The Rest is History,
Enewei ukimaliza Kutana na Malaika wa Misukosuko
Shoga linacheka cheka tu huku nyuma linadondosha maji. Hakuna mwanaume anacheka cheka na kubishana na wanawake. Hamna.Hujisikii aibu kujiuza jf, π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Umekosa app zingine zenye wateja tele au huna mvuto umeamua kutuwekea avatar ya ku download
Sikia ukitoka period uniambie inaweza hata pedi huna, sema usaidiwe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£,
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, umetoa mimba ngapi mpaka saizi ππππ,Hujui? Huyo ni shoga.... We msome tu kwenye huu uzi . Utamwona. Na mpaka anakwambia ana picha zao hao watajwa..... Hatari humu.... Si salama kabisa.
Mfano ukakuta ni Mapunga..
1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Nitaliiiiiia eeehKwi kwi kwi[emoji2960]
Sawa danga, ila jua huku tunajua michezo yenu yote endelea, kuporomosha thread tu,Shoga linacheka cheka tu huku nyuma linadondosha maji. Hakuna mwanaume anacheka cheka na kubishana na wanawake. Hamna.
Unatafuta sponsor kwa nguvu nyingi sana.Mweeeeeh..... Yupo very smart. Anapendeza sana. Kumbe nilikuwa sahihi.
Mbona dume zima unatumia id ya kike.Ssbabu nlikushika makalio? π€£ upo sahihi. Ulidhani mi nayapenda mashoga? Nayachokochoa kweli ..... Mi mwanaume shoga oggie
Mkuu acha kujidharirisha .Sawa danga, ila jua huku tunajua michezo yenu yote endelea, kuporomosha thread tu,
Wanawake wanaojielewa hawako hivyo yaani unaamzisha kabisa thread ohh sitongozwi
Eti unataka ukutane na midume ya humu, huko mtaani kwenu au kwenye familia yenu hamna watu wa maana mpaka uje humu, π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ohhh nimekumbuka inaonyesha jinsi ulivyo low class na jinsi gani unataka upapatikiwe na wanaume π€£π€£π€£π€£,
Una nini cha kutoa ww, una nn hilo tumbua lako lenye UTI na bwawa π π π π π π
Njoo kivingine rafiki nakumbiaje tumeshtuka, tumeshtuka πππ
HAIBIWI MTU HAPA
Acha tuoneMkuu acha kujidharirisha .
Kausha tu mwisho wake utaambulia BANAcha tuone
π€£π€£π€£π€£Vitu viwili tofauti kabisa..mie by nature ni mpole, indoors type of guy na ata hizo mbususu sijui zinafananajeπ€£π€£π€£π€£.
Ila uwongo mbaya mie kweli nina kibamia
ye34nbe huyoKausha tu mwisho wake utaambulia BAN
Avatar huwa zina ufikirisho mwingi sana lakini wakati mwingine huwa zinakujengea fikra ya jinsi mtu alivyo kutokana na Avatar aliyoiwekaKutana nao tu. Kwa umbo hilo. Sioni pingamizi