Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Aisee huo ujinga nilikuwa naufanya those days, (Multiple Id's) lakini siku hizi nimeshakuwa matured aisee, halafu na muda huo sina tena [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kipindi hicho mimi nilikuwa najifanya niko MATURED basi nikawa naandika points tu jamiiforums, nanukuu vifungu vya biblia na kuchati kwa staha.

Baadaye nikagundua kumbe nina FAKE MATURITY halafu pia UJINGA NI MTAMU.

Hakuna kitu kinalipa kama kuwa MJINGAAA, ni raha ya ajabuuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…