Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

Huku Mungu anawaambia ishini nao kwa akili.
We kazana kuziacha akili zako ofisini nyumbani tumia moyo matokeo utasomewa muhimbili.
Sinia lazima lihusike na tunakula wote km unanitilia sumu basi bakuri ile ile uliyotia sumu na wewe utachoviya tu ule hakuna kusema hujisikii kula lazima uonje sumu uliyoiweka ndio kanuni ya Sinia
 
Huo umuhimu wa kuingilia mawzo yangu na kuyaona ni ya kijinga kakupa nani??? usipende kujiamulia mambo bro!!

Halafu kila mmoja ana uhuru wa kufanya jambo lolote na likatiki huko aliko bila kelele
Una uhuru lakini ukiandika upuuzi hauvumiki lazima tushuke na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…