Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

ukishaanza pata hofu hiyo piga chini ndoa
 
Leo ndio Nimejua kwanini waarabu wanapenda kula kwenye sinia la pamoja.!๐Ÿ˜Ž

Hawa wazee na misuli yao Kuna mengi yawezekana walipitia waheshimu we kiaina. ๐Ÿค—
 
Nimerudi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mwili unanilemea kwa haya maubuyu niliyobeba. Mambo ni mazito hadi najihisi nina kilo mia.
Ngoja nichaji simu nije inbox ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜† naona kweka kapandishwa kizimbani mambo ni mazito sasa
 
ELIMU ELIMU ELIMU.
tanzania kuna UPUMBAVU sana.
steel wire usikutane na chuma.
unga wa steel wire watui hamjua chuma ina jharufu????????????
mmoja akasema et kaka yake. na hapo atakuwa anamkasirikia mwanamke shemeji yake bure.
chakula kina harufu na chuma chuma hazima madhara mnayosema. mwili wa binadamu umetengenezwa kwa ufundi sana.
kansa ya utumbo ina sababu nyingi.
na kifo kipo tiuuuuu wanawake mtakuja sema sisi ndio ytunawasababishia kansa za matoiti kwa hali hii
 
Back
Top Bottom