Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
View attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
View attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Ikiwa ni hivyo mbona hata kisu kitakatazwa kisiuzwe!Hivi hizi still waya ni kweli zina madhara? Na kama zinamadhara kwa nini tbs wanaziruhusu?
Kuna steel wire fake ambazo huwa zinabaki kwenye masufuria zisipooshwa na maji mengi yanayotiririka.kama wanatumia kuoshea mara kwa mara itafikia muda zitakuathili tu.zinatakiwa kupigwa marufuku na kuruhusu zile ngumu ambazo punje zake hazibaki kwenye sufuria.Ikiwa ni hivyo mbona hata kisu kitakatazwa kisiuzwe!
Steel wire zina madhara kama zitabadiliswa matumizi kama dada anavyosema, katika kazi zake za kawaida haina madhara ila ikiwekwa kwenye chakula ili mtu ale ndo shida.
Inasagwa nakua unga afu unaanzishiwa dozi,ni rahisi kuchanganywa kwenye unga unapikiwa ugali..Kansa ya utumbo fasta ,hahahaIkiwa ni hivyo mbona hata kisu kitakatazwa kisiuzwe!
Steel wire zina madhara kama zitabadiliswa matumizi kama dada anavyosema, katika kazi zake za kawaida haina madhara ila ikiwekwa kwenye chakula ili mtu ale ndo shida.
Unachosema ni sahihi, lakini hayo siyo matumizi ya steel wire, ni mtu tu ameamua kubadilisha matumizi na kuifanya iwe sumu.Inasagwa nakua unga afu unaanzishiwa dozi,ni rahisi kuchanganywa kwenye unga unapikiwa ugali..Kansa ya utumbo fasta ,hahaha
😂😂😂Huku Mungu anawaambia ishini nao kwa akili.
We kazana kuziacha akili zako ofisini nyumbani tumia moyo matokeo utasomewa muhimbili.
Shost angu Agusta, umemtoa wapi? Ngoja nimuambie tsup, nimemuona JF mtu kampost.
Tena hizi fake ndio zilizojaa, ukisugua kwa sufuria inabidi uoshe na usuuze sana sufuria, maana huwa zinabaki baki.Kuna steel wire fake ambazo huwa zinabaki kwenye masufuria zisipooshwa na maji mengi yanayotiririka.kama wanatumia kuoshea mara kwa mara itafikia muda zitakuathili tu.zinatakiwa kupigwa marufuku na kuruhusu zile ngumu ambazo punje zake hazibaki kwenye sufuria.
Uko sahihi sanaa.Tukiwapenda hawafikia hatua hiyo! Watatutii na kutuheshimu!
Lakini kama tunawanyanyasa,tunawapiga,tunawafanya kama watumwa Shetani atawafikisha mahali pa kuwaza kutudhuru.
Pili hata tukichukua tahadhari kwenye chakula,wanaweza hata kutumia njia hata nyingine!
Dawa ni moja tu,TUWAPENDE kama tunavyojipenda.
Bro unazungumzia hiyo?! Kuna code mke wa mjomba alinipa Tanga akasema damu ya hedhi kidole kimoja kikichopekwa ndani ya mchuzi ni sawa na sumu baridi. Inamuua mtu kwa kumuozesha mapafu na utumbo. Acha kabisa. Na mbaya zaidi wanawake hawatabiriki leo malaika kesho lucifer. Ndio maana nimeaga kwetu kabla sijaoa.View attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
I wish it was that simple , kumpenda na kumuheshimu mwanamke hakuleti uhakika kwamba anaweza asikupige tukio.Tukiwapenda hawafikia hatua hiyo! Watatutii na kutuheshimu!
Lakini kama tunawanyanyasa,tunawapiga,tunawafanya kama watumwa Shetani atawafikisha mahali pa kuwaza kutudhuru.
Pili hata tukichukua tahadhari kwenye chakula,wanaweza hata kutumia njia hata nyingine!
Dawa ni moja tu,TUWAPENDE kama tunavyojipenda.
Ukiona humuamini,achaneni. Aliyeiumba Ndoa hakukusudia wanandoa waishi maisha ya kutoachiana Maji mezani.View attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Hii imemutokea dogo langu mtoto wa baba mkubwa. Amekatwa utumbo.Inasagwa nakua unga afu unaanzishiwa dozi,ni rahisi kuchanganywa kwenye unga unapikiwa ugali..Kansa ya utumbo fasta ,hahaha