πΉπππππππHuku Mungu anawaambia ishini nao kwa akili.
We kazana kuziacha akili zako ofisini nyumbani tumia moyo matokeo utasomewa muhimbili.
Duh poleniHii imemutokea dogo langu mtoto wa baba mkubwa. Amekatwa utumbo.
Alisagiwa ukawa unga!
Ngoja nichaji simu nije inbox ππ naona kweka kapandishwa kizimbani mambo ni mazito sasaNimerudiππ
Mwili unanilemea kwa haya maubuyu niliyobeba. Mambo ni mazito hadi najihisi nina kilo mia.