Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya.
Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume.
Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli