Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

Kama ambavyo sio wanawake wote ni malaya, basi sio kila mwanaume ameishi na malaya na kuona kila mwanamke ni malaya, wengine tunawaheshimu/kujiheshimu.. Stop Generalization fallacy!

Tatizo unapigwa tukio na mwanaume mmoja halafu unahukumu wanaume wote dunia
🤣🤣
 
Ukweli unaoumiza Mahusiano yameumiza sana wengi, we need prayers kwa kweli, haya Mambo NDIO yanapelekea kwenye depression na stress zisizo na mwisho.
Ukiwaza mapenz Kwa negative way yanakutesa sana lkn ukiyawekea positive maisha ni raha tu huwez kuwa mtumwa Kwa sabbu ya maamuz ya moyo wako mwenyew
 
Back
Top Bottom