Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

Tofauti kati ya mwanamke wa kawaida na malaya ni ndogo sana especially ukute hana hofu ya Mungu. Mwanamke akipata mtikisiko wa maisha ni rahisi sana kuangukia kwenye umalaya. Tuseme basi hali ya uchumi wa nchi kuwa mzuri au mbaya unapelekea pia kuwa na malaya wengi?
 
Hiki kitu malaya acheni midomo kwenu mtaachwa nashida zenu mufe
 
Kama ambavyo sio wanawake wote ni malaya, basi sio kila mwanaume ameishi na malaya na kuona kila mwanamke ni malaya, wengine tunawaheshimu/kujiheshimu.. Stop Generalization fallacy!

Tatizo unapigwa tukio na mwanaume mmoja halafu unahukumu wanaume wote dunia nzima
HAKUNA MWANAUME MALAYA.
 
Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya.

Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume.

Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli
HAKUNA MWANAUME MALAYA, ILA YUPO MWANAMKE MALAYA.
 
Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya.

Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume.

Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli
Hao tiyari Ni watu watano 😂😆 Sasa si ni Yale Yale tu
 
Ni kweli nimeishi na malaya wengi, lakini simchukulii kuwa kila mtu ni malaya, japi hii haibadilishi uhalisia wanawake wengi WANAJIUZA(KUDANGA) iwe officially na wengine sio official, ni wachache saana hawauzi.
 
Wanawake na maendeleo.
Screenshot_20220718-155030.jpg
 
Back
Top Bottom