Kama ambavyo sio wanawake wote ni malaya, basi sio kila mwanaume ameishi na malaya na kuona kila mwanamke ni malaya, wengine tunawaheshimu/kujiheshimu.. Stop Generalization fallacy!
Tatizo unapigwa tukio na mwanaume mmoja halafu unahukumu wanaume wote dunia