Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

Boss kwahyo unataka kusema kuwa hizo homoni zinafanya kazi mwanamke/mdada akiwa na mwenza wake ndani tu au ikoje mbona akiwa kwingne huko anakuwa vizuri akirud ndan ndo anakuwa wa hovyo had unajiuliza namnyanyasa au vp mfano nikiwa nae nikimwambia kitu au jambo lolote anapanic akiwa na watu wengne hata wakimtania anaona kawaida tu hata akiwa anaongea na maex zake anakuwa na furaha tatizo ni akija kwangu ndo homon zinaanza kufanya kazi au????????
 
Mwandishi ameileta mada sijajua ni kwa mtazamo wake ama ni research kafanya. Kuna vilivyo katika uhalisia, lakini kwa dunia ya sasa naomba nami nitoe maoni haya.
Hii mambo ya hormone and stuff imetupelekea mpaka kuwa na uchafu katika dunia ya leo.

Yes mwanamke ana challenges yanapotokea mabadiliko mwilini katika mizunguko, BUT, hiki si kigezo cha mtu kuwa rude, kiburi, jeuri, gubu and stuff like that. Hivi kweli Mungu kachukua muda wake mzuri kuumba mwanadamu kwa ustadi tena kwa mfano wake. Ni yeye ndie alieziweka hizo hormone mwilini mind.

Hizi tabia mbaya tunazojipa nazo moyo kwamba ni sawa kwa sababu tuna hormone its a lie. Kila mwanadamu ana hormone. Tunatakiwa kutiisha miili yetu. Miili yetu inatakiwa iwe dhabihu hai, takatifu mbele za Mungu. Miili yetu ilishakufa pamoja na Kristo na tukafufuka pamoja nae. Ni HATARI kuruhusu mwili ukutawale.

Kuna circumstances najua zipo lakin sio ndo tuendekeze wapendwa. Kuna dada yangu mmoja alishanipiga stop kabisa kuhusu mambo ya drama za mimba ama period. Akaniambia siamini na hakuna mambo kama drama, kisirani ama kumchukia mtu. Mungu ni upendo, yeye ndie aliyeweka uhai kwa mtoto tumboni mwa mwanamke. Iweje leo mwanamke unamfanyia drama mtoto wa mwanamke mwenzako tena kwa maneno ya ghadhabu, kiburi, hasira, matusi yote in the name of pregnancy?..I do beg to differ. Lakini mwanamke huyo huyo akizaa mtoto wa kiume nae akaja akaoa, na mka mwana wake akawa hivyo atasema ananitesea mwanangu, anajifanyisha! Kuna vitu tunaviona ni sawa sana katika uso wa dunia ya leo lakin ni upotevu na ubatili.

Kuna cases za chakula ambazo hata mimi nazielewa kwamba mtu anashindwa kula chakula fulani hiyo sawa. Lakini sio ndo saa tisa kumtafutisha mume wako ubuyu ulioko kwenye gunzi lake. Atapata wapi labda? Mungu atusaidie na atupe hekima ya kuishi katika haya maisha.
Yale yale ninayosema kila siku,without God there is no happy marriege...
 
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.

Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo.

Pole sana baba.Najua hicho sicho ulichokitegemea siku ile unamtolea mahari.

Najua ulitegemea awe mpole,mtiifu,mnyenyekevu,msikivu na asiye na udhubutu wa kukupandishia sauti tena ya ukali lakini haya ndo yametamalaki ndani mwako na ushamchoka na unafikiria umuache utafute mwingine asiye na viburi na visirani.

Roho wa Mungu kaniagiza nikuambie kuwa kabla hujamuacha mkeo kwa viburi/visirani na gubu nihakikishe unajua kitu inaitwa PMDD yaani Premenstrual dysphoric disorder.

Wote tunajua wapo wanawake wana tabia)mdomo mchafu kutokana na malezi n.k ila wapo wanawake ni wake wema kabisa,wana malezi bora,wana hofu ya Mungu na wamejitoa kuishi kwa unyenyekevu na utii kwa waume zao ILA wanapokua kwenye siku zao wanageuka kuwa LADIES FROM HELL. Ananuna bila sababu, anakua mkali,kila kitu kwake ni kibaya.Namaanisha mkeo anakua na changamoto za "kiakili".

Wanaume wengi mkisikia hedhi kitu kinachokujia akilini ni damu ila nawaomba sana mjue,kwa mwanamke damu ni sehemu ndogo ya hedhi.

Mwanamke anapokua/karibia hedhi HORMONES zinafanya mwili na akili za mwanamke vinakua upside down na mwanamke anabadilika muonekano na tabia katika hizi siku za hedhi.

Hizi hormones zina nguvu sana kwa mwanamke kiasi kwamba kuna wanawake wakiwa mwezini wanakua suicidal, yaani wanakua wanaona kila kitu ni kero na kibaya.Kama kaolewa mumewe anaweza akamuambia kitu cha kawaida tu yeye kikamkwaza kikamuuma mpaka akatamani ajiue kumbe sio akili yake ni hormones zinam control.Na sio kwa mume tu,anakua hivyo kwa kila mtu.

Asipotamani kujiua ndo hivyo atanuna wee au utamuambia kitu cha kawaida atakupa majibu ya ajabu ajabu hadi ushangae na Wapo wanawake wakiwa hedhi wanaumwa hadi wanalazwa hospitali.

Unafikiri ni kwanini Mungu alisema wanawake tuwatii wanaume na Mungu huyo huyo ndo akatuumba wanawake akiwa katuwekea hizi hormones zinazosababisha sometimea baadhi(BAADHI) yetu tuwe na viburi na gubu?

Mimi sijui ila ninachojua mmeambia muishi na wanawake kwa akili.Sasa leo nakuongezea akili kidogo zitakazokusaidia kuishi na sisi wanawake.

Kabla yakufikiria kumuacha mkeo hebu kwanza ujue mzunguko wa hedhi wa mkeo.Is she a witch wiki moja au mbili kabla ya kuona siku zake? Je akishaona)maliza anarudia kuwa malaika?

Kama unagundua anakua wa "hovyo" sambamba na hedhi basi huyo sio akili zake na wala hajifanyishi.Hormones zinampelekesha huyo.Wewe cha kufanya ISHI NAE KWA AKILI ya ziada kipindi hicho.Sio tena ndio na wewe uanze kupelekeshana nae uzidi kumtibua.Ukitaka kwenda nae head to head na wewe utakua "chizi" tu kama yeye na nyumba yenye machizi wawili lazima ibomoke.

Pia ieleweke kila mwanamke anaathiriwa tofauti na hormones za period sasa usije ukasema mbona mke wa kaka yangu au jamaa yangu kasema mkewe yuko poa tarehe zote.

Mfano mimi siumwagi tumbo wala sina mood swings(au ninazo sijijui,ukiwa chizi hujijui) ila huwa nakosa appetite ya kula na vizunguzungu.

Mbali ya hedhi pia mwanamke akiwa mjamzito mambo ni yale yale HATUJIFANYISHI.Mabadiliko ya mwili na akili ni makubwa sana.

Najua kuna wachache wachache mtakaonielewa na kuokoa ndoa zenu ila kuna mtakaoniona nimeandika vapour sbb tayari mshaamini wanawake ni wengi ila wakuoa ni wachache,sawa sikatai ila wanawake wazuri pia wapo.Hii machinery ya kutotolesha watoto msiichukulie poa jamani,inapitia mengi.

KINGINE:Nashauri kabla ya kuoana TUPIMAME AFYA YA AKILI KWANZA.Achana na hormones za hedhi.Unaweza oa/olewa na mtu ukimuona yuko poa tu kumbe mtu hayuko sawa kiakili.Kichaa sio anaokota makopo tu.Maofisini makazini wapo watu wasomi wanaongea fresh tu ila ni vichaa.Unaweza oana mwanzoni yuko poa badae kitu ika trigger wazimu ukapanda viburi,chuki,majibu ya hovyo,sexy fantansiies za ajabu na wengine mpaka kuuana kumbe ulioa 'mgonjwa'.Kwa wanawake anaweza kuwa vizuri tu ila akapata kichaa cha mimba na asikae sawa tena.Haya mambo yapo ni real na tusiyachukulie poa.
Suala linaloenda kupekenyua ubongo wa mtu haliponi kwa vibao wala matusi bali kwa hekima na hata maombi kwa wenye imani .

Narudi zangu kulala nikiwaaga kwa kusema WANAUME WETU TUNAWAPENDA TUNAWAHESHIMU NA TUNAWATII ILA TUNAWAOMBA MTUVUMILIE SOMETIMES SIO AKILI ZETU NI HORMONES

Joannah
umeongea kitu cha maana sana ambacho niliwahi kumwambia jamaa fulani akanibishia mno. viumbe hawa tunatakiwa kuishi nao kwa akili. ukishindana nao wote mnatakiwa kuwekwa sinia moja, wote ni wanawake. zamani nilikuwa simuelewi kabisa wife manake jana tulikuwa vizuriii ila kesho naona kama kavamiwa na shetani na nikimuangalia kwa makini naona kama sio yeye, ila siku tatu zikipita naona amekuwa kawaida.
 
ACHA UONGO WEWE, MUNGU ANAKUONA!
 
Waacheni wakae kivyao
 
Back
Top Bottom