Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnatafuta sababu ya kuhalalisha KIBURI, JEURI, GUBU na mengineyo ya kufanana na hayo kupitia hicho alichokiandika Clepatina , suluhisho ni kuishi nanyi kwa akili tu maana hata mkipima afya ya akili haimaanishi baada ya kuingia ndoani kutazuia kupata changamoto za afya ya akili.Half american Glenn To yeye vipi hapo Jamani kwenye kupimana afya ya akili?mdogo wangu katoa ushauri
Kumbe ukitulia una madini Sana mdogo wangu.....ishini nao kwa akiliNaona mnatafuta sababu ya kuhalalisha KIBURI, JEURI, GUBU na mengineyo ya kufanana na hayo kupitia hicho alichokiandika Clepatina , suluhisho ni kuishi nanyi kwa akili tu maana hata mkipima afya ya akili haimaanishi baada ya kuingia ndoani kutazuia kupata changamoto za afya ya akili.
Kumbe sijatulia? na hukuwahi kuniambia 😢Kumbe ukitulia una madini Sana mdogo wangu.....ishini nao kwa akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmechekaWatu wakiona chura yupo vizur wanajua kila kitu kipo sawa.
Hata hivyo sisy najuta kuweka huu uzi.Naona point yangu imetafsiriwa vibaya na sidhan kama kuna atakayenielewa.Nahisi hata mlamba lips wangu ninayempenda na kumuheshimu sana akiona hii mada anaweza kuniacha.Eee Yesu nisaidie akaniacha nitampata wapi mwingine kama yeye[emoji16][emoji120].
Sisemi viburi na gubu ni sawa ila Ukweli ni kwamba wapo wanawake wenzetu wanapelekeshwa sana na hormones za hedhi na kama waume zao watajua jinsi ya kuenenda nao ingekua vizuri.
Na hii mada nimeianzisha mwenyewe ila nasema sisy imenishinda na hata sijui naendelea nayo vipi.[emoji16]
Kama kuna aliyenielewa sawa kama kuna anayedhani natetea wanawake wenye tabia chafu sawa cha muhimu naijua nafasi yangu mbele ya baba yeyoo wangu ni ipi.
Sisi natoroka sirudi tena hapa[emoji16]
Uko sahihi Sana,humu kila mtu ana akili zake za kutafsiri usikimbie,piga punch za nguvu waeleweshe Sina shaka na akili yako dogoWatu wakiona chura yupo vizur wanajua kila kitu kipo sawa.
Hata hivyo sisy najuta kuweka huu uzi.Naona point yangu imetafsiriwa vibaya na sidhan kama kuna atakayenielewa.Nahisi hata mlamba lips wangu ninayempenda na kumuheshimu sana akiona hii mada anaweza kuniacha.Eee Yesu nisaidie akaniacha nitampata wapi mwingine kama yeye😁🙏.
Sisemi viburi na gubu ni sawa ila Ukweli ni kwamba wapo wanawake wenzetu wanapelekeshwa sana na hormones za hedhi na kama waume zao watajua jinsi ya kuenenda nao ingekua vizuri.
Na hii mada nimeianzisha mwenyewe ila nasema sisy imenishinda na hata sijui naendelea nayo vipi.😁
Kama kuna aliyenielewa sawa kama kuna anayedhani natetea wanawake wenye tabia chafu sawa cha muhimu naijua nafasi yangu mbele ya baba yeyoo wangu ni ipi.
Sisi natoroka sirudi tena hapa😁
Huyo atakaetupima anazo hizo akili sasaHalf american Glenn To yeye vipi hapo Jamani kwenye kupimana afya ya akili?mdogo wangu katoa ushauri
Yaani tukitoka hapo wote wawili milembeee kupewa vitandaHuyo atakaetupima anazo hizo akili sasa
😂😂😂😂Yaani tukitoka hapo wote wawili milembeee kupewa vitanda
si wengine hatujali afanye anvyojisikia kwanza akileta gubu ndo vizuri nyumba kurudi asubuhi, muda wa kuhangaishana ulishapitaRoho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.
Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo.
Pole sana baba.Najua hicho sicho ulichokitegemea siku ile unamtolea mahari.
Najua ulitegemea awe mpole,mtiifu,mnyenyekevu,msikivu na asiye na udhubutu wa kukupandishia sauti tena ya ukali lakini haya ndo yametamalaki ndani mwako na ushamchoka na unafikiria umuache utafute mwingine asiye na viburi na visirani.
Roho wa Mungu kaniagiza nikuambie kuwa kabla hujamuacha mkeo kwa viburi/visirani na gubu nihakikishe unajua kitu inaitwa PMDD yaani Premenstrual dysphoric disorder.
Wote tunajua wapo wanawake wana tabia)mdomo mchafu kutokana na malezi n.k ila wapo wanawake ni wake wema kabisa,wana malezi bora,wana hofu ya Mungu na wamejitoa kuishi kwa unyenyekevu na utii kwa waume zao ILA wanapokua kwenye siku zao wanageuka kuwa LADIES FROM HELL. Ananuna bila sababu, anakua mkali,kila kitu kwake ni kibaya.Namaanisha mkeo anakua na changamoto za "kiakili".
Wanaume wengi mkisikia hedhi kitu kinachokujia akilini ni damu ila nawaomba sana mjue,kwa mwanamke damu ni sehemu ndogo ya hedhi.
Mwanamke anapokua/karibia hedhi HORMONES zinafanya mwili na akili za mwanamke vinakua upside down na mwanamke anabadilika muonekano na tabia katika hizi siku za hedhi.
Hizi hormones zina nguvu sana kwa mwanamke kiasi kwamba kuna wanawake wakiwa mwezini wanakua suicidal, yaani wanakua wanaona kila kitu ni kero na kibaya.Kama kaolewa mumewe anaweza akamuambia kitu cha kawaida tu yeye kikamkwaza kikamuuma mpaka akatamani ajiue kumbe sio akili yake ni hormones zinam control.Na sio kwa mume tu,anakua hivyo kwa kila mtu.
Asipotamani kujiua ndo hivyo atanuna wee au utamuambia kitu cha kawaida atakupa majibu ya ajabu ajabu hadi ushangae na Wapo wanawake wakiwa hedhi wanaumwa hadi wanalazwa hospitali.
Unafikiri ni kwanini Mungu alisema wanawake tuwatii wanaume na Mungu huyo huyo ndo akatuumba wanawake akiwa katuwekea hizi hormones zinazosababisha sometimea baadhi(BAADHI) yetu tuwe na viburi na gubu?
Mimi sijui ila ninachojua mmeambia muishi na wanawake kwa akili.Sasa leo nakuongezea akili kidogo zitakazokusaidia kuishi na sisi wanawake.
Kabla yakufikiria kumuacha mkeo hebu kwanza ujue mzunguko wa hedhi wa mkeo.Is she a witch wiki moja au mbili kabla ya kuona siku zake? Je akishaona)maliza anarudia kuwa malaika?
Kama unagundua anakua wa "hovyo" sambamba na hedhi basi huyo sio akili zake na wala hajifanyishi.Hormones zinampelekesha huyo.Wewe cha kufanya ISHI NAE KWA AKILI ya ziada kipindi hicho.Sio tena ndio na wewe uanze kupelekeshana nae uzidi kumtibua.Ukitaka kwenda nae head to head na wewe utakua "chizi" tu kama yeye na nyumba yenye machizi wawili lazima ibomoke.
Pia ieleweke kila mwanamke anaathiriwa tofauti na hormones za period sasa usije ukasema mbona mke wa kaka yangu au jamaa yangu kasema mkewe yuko poa tarehe zote.
Mfano mimi siumwagi tumbo wala sina mood swings(au ninazo sijijui,ukiwa chizi hujijui) ila huwa nakosa appetite ya kula na vizunguzungu.
Mbali ya hedhi pia mwanamke akiwa mjamzito mambo ni yale yale HATUJIFANYISHI.Mabadiliko ya mwili na akili ni makubwa sana.
Najua kuna wachache wachache mtakaonielewa na kuokoa ndoa zenu ila kuna mtakaoniona nimeandika vapour sbb tayari mshaamini wanawake ni wengi ila wakuoa ni wachache,sawa sikatai ila wanawake wazuri pia wapo.Hii machinery ya kutotolesha watoto msiichukulie poa jamani,inapitia mengi.
KINGINE:Nashauri kabla ya kuoana TUPIMAME AFYA YA AKILI KWANZA.Achana na hormones za hedhi.Unaweza oa/olewa na mtu ukimuona yuko poa tu kumbe mtu hayuko sawa kiakili.Kichaa sio anaokota makopo tu.Maofisini makazini wapo watu wasomi wanaongea fresh tu ila ni vichaa.Unaweza oana mwanzoni yuko poa badae kitu ika trigger wazimu ukapanda viburi,chuki,majibu ya hovyo,sexy fantansiies za ajabu na wengine mpaka kuuana kumbe ulioa 'mgonjwa'.Kwa wanawake anaweza kuwa vizuri tu ila akapata kichaa cha mimba na asikae sawa tena.Haya mambo yapo ni real na tusiyachukulie poa.
Suala linaloenda kupekenyua ubongo wa mtu haliponi kwa vibao wala matusi bali kwa hekima na hata maombi kwa wenye imani .
Narudi zangu kulala nikiwaaga kwa kusema WANAUME WETU TUNAWAPENDA TUNAWAHESHIMU NA TUNAWATII ILA TUNAWAOMBA MTUVUMILIE SOMETIMES SIO AKILI ZETU NI HORMONES
Joannah
Mm ni mwanaume ila kuna w.ke wakiwa kwenye P ndo huzidisha ukarimu sanaa ata kma huko nyuma mlikua mnagombanaRoho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.

Sawa sijakataa kuhusu hilo la hormones.Naongelea hormones sio malezi.
Huwezi ku secure pesa kama huna amani kwenye mahusiano yako mkuu.
Au sio na sisi hormones za kutembeza mkong'oto na kutoacha za matumizi zikivurugika itabidi mtuvumilie.Tena kwenye menopause ndo usiseme sasa jinsi hizo hormones zinavyovurugika.
Na wanawake wa zamani walikua hawana kiburi, jeuri, mdomo nk. Kumbe walikua hawapati hedhi! AloooRoho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.