Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

Ngoja nipate supu kwanza nitarudi hapa, ila nikute umeniandalia jibu ni kwa nini kwenye mahusiano ya boy friend na girlfriend wanawake huwa wako fresh sana? Hizi homoni hazifanyikazi kabla hamjaolewa? Na kwa nini mkiwa na watu wengine mnaongea vizuri tu ila homoni ndio zinaleta shida kwa mume wako peke yake?
Maswali mazuri kabisa.
 
Mwanamke fahamu sehemu yako esp unapopata mume anayekupenda.

Haya mambo ya Hormon ndo yametuletea na tabia chafu za kijinsia. Binadamu ameumbwa kutumia akili sio hormon.

Ni kukosa adabu na kuwa na mdomo usioongozwa na ubongo, wazazi wetu hawakuwa na hizo hormon? Au zimeota kama uyoga kizazi hichi?
Mkuu nimekusoma kwa kutulia kabisa nikakuelewa.
Kama unaamini mabibi zetu hawakuwa wakipelekeshwa na hormones its fine by me
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ngoja nipate supu kwanza nitarudi hapa, ila nikute umeniandalia jibu ni kwa nini kwenye mahusiano ya boy friend na girlfriend wanawake huwa wako fresh sana? Hizi homoni hazifanyikazi kabla hamjaolewa? Na kwa nini mkiwa na watu wengine mnaongea vizuri tu ila homoni ndio zinaleta shida kwa mume wako peke yake?
Maswali yangu ni kama yako tu, so sitoyaandika. Nitapata majibu hapa akikujibu/wakikujibu
 
Wewe nipe mbinu za kuokoa pesa mzee, yaani kabisaa napambana eti kuokoa ndoa..
Toto limelelewa na wazazi wake huko kiaina afu mimi nipewe kazi khaa
Naongelea hormones sio malezi.
Huwezi ku secure pesa kama huna amani kwenye mahusiano yako mkuu.
 
Nilikuwa sijasoma ila sasa nimesoma nawachukia Sana wamama wenye MIMBA ni kisirani tupu kwahiyo mtoa mada kipindi mpo period mnatushauri tufanyeje.Tupe jibu......

a Tuwapuuze

b Tuwanyenyekee

c Tukubali hata msipotutii na kutuheshimu

d Tuwaamshie popo
 
Mwanamke anapokua/karibia hedhi HORMONES zinafanya mwili na akili za mwanamke vinakua upside down na mwanamke anabadilika muonekano na tabia katika hizi siku za hedhi.

Hizi hormones zina nguvu sana kwa mwanamke kiasi kwamba kuna wanawake wakiwa mwezini wanakua suicidal, yaani wanakua wanaona kila kitu ni kero na kibaya.Kama kaolewa mumewe anaweza akamuambia kitu cha kawaida tu yeye kikamkwaza kikamuuma mpaka akatamani ajiue kumbe sio akili yake ni hormones zinam control.Na sio kwa mume tu,anakua hivyo kwa kila mtu.

Asipotamani kujiua ndo hivyo atanuna wee au utamuambia kitu cha kawaida atakupa majibu ya ajabu ajabu hadi ushangae na Wapo wanawake wakiwa hedhi wanaumwa hadi wanalazwa hospitali.
Ila ajabu mwanaume ukiwa na fedha ya kutosha hormones za Ke hazileti shida😁

Je, wewe unayejua haya, huwa unaweza kujidhibiti kipindi cha hiyo changamoto ili usivuke mipaka?
Maybe inafaa hii elimu itolewe kwa Ke iwasaidie.
 
Shida ni kwamba wanawake wote wamewekwa kundi moja na huyu.
Hata hivyo hata huyu kabla ya kuhumikiwa je status ya afya yake ya akili inajulikana
Sifahamu, ila kuna binadamu (Mwanamke), ni makasiriko siku zake zote...
 
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.

Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo.

Pole sana baba.Najua hicho sicho ulichokitegemea siku ile unamtolea mahari.

Najua ulitegemea awe mpole,mtiifu,mnyenyekevu,msikivu na asiye na udhubutu wa kukupandishia sauti tena ya ukali lakini haya ndo yametamalaki ndani mwako na ushamchoka na unafikiria umuache utafute mwingine asiye na viburi na visirani.

Roho wa Mungu kaniagiza nikuambie kuwa kabla hujamuacha mkeo kwa viburi/visirani na gubu nihakikishe unajua kitu inaitwa PMDD yaani Premenstrual dysphoric disorder.

Wote tunajua wapo wanawake wana tabia)mdomo mchafu kutokana na malezi n.k ila wapo wanawake ni wake wema kabisa,wana malezi bora,wana hofu ya Mungu na wamejitoa kuishi kwa unyenyekevu na utii kwa waume zao ILA wanapokua kwenye siku zao wanageuka kuwa LADIES FROM HELL. Ananuna bila sababu, anakua mkali,kila kitu kwake ni kibaya.Namaanisha mkeo anakua na changamoto za "kiakili".

Wanaume wengi mkisikia hedhi kitu kinachokujia akilini ni damu ila nawaomba sana mjue,kwa mwanamke damu ni sehemu ndogo ya hedhi.

Mwanamke anapokua/karibia hedhi HORMONES zinafanya mwili na akili za mwanamke vinakua upside down na mwanamke anabadilika muonekano na tabia katika hizi siku za hedhi.

Hizi hormones zina nguvu sana kwa mwanamke kiasi kwamba kuna wanawake wakiwa mwezini wanakua suicidal, yaani wanakua wanaona kila kitu ni kero na kibaya.Kama kaolewa mumewe anaweza akamuambia kitu cha kawaida tu yeye kikamkwaza kikamuuma mpaka akatamani ajiue kumbe sio akili yake ni hormones zinam control.Na sio kwa mume tu,anakua hivyo kwa kila mtu.

Asipotamani kujiua ndo hivyo atanuna wee au utamuambia kitu cha kawaida atakupa majibu ya ajabu ajabu hadi ushangae na Wapo wanawake wakiwa hedhi wanaumwa hadi wanalazwa hospitali.

Unafikiri ni kwanini Mungu alisema wanawake tuwatii wanaume na Mungu huyo huyo ndo akatuumba wanawake akiwa katuwekea hizi hormones zinazosababisha sometimea baadhi(BAADHI) yetu tuwe na viburi na gubu?

Mimi sijui ila ninachojua mmeambia muishi na wanawake kwa akili.Sasa leo nakuongezea akili kidogo zitakazokusaidia kuishi na sisi wanawake.

Kabla yakufikiria kumuacha mkeo hebu kwanza ujue mzunguko wa hedhi wa mkeo.Is she a witch wiki moja au mbili kabla ya kuona siku zake? Je akishaona)maliza anarudia kuwa malaika?

Kama unagundua anakua wa "hovyo" sambamba na hedhi basi huyo sio akili zake na wala hajifanyishi.Hormones zinampelekesha huyo.Wewe cha kufanya ISHI NAE KWA AKILI ya ziada kipindi hicho.Sio tena ndio na wewe uanze kupelekeshana nae uzidi kumtibua.Ukitaka kwenda nae head to head na wewe utakua "chizi" tu kama yeye na nyumba yenye machizi wawili lazima ibomoke.

Pia ieleweke kila mwanamke anaathiriwa tofauti na hormones za period sasa usije ukasema mbona mke wa kaka yangu au jamaa yangu kasema mkewe yuko poa tarehe zote.

Mfano mimi siumwagi tumbo wala sina mood swings(au ninazo sijijui,ukiwa chizi hujijui) ila huwa nakosa appetite ya kula na vizunguzungu.

Mbali ya hedhi pia mwanamke akiwa mjamzito mambo ni yale yale HATUJIFANYISHI.Mabadiliko ya mwili na akili ni makubwa sana.

Najua kuna wachache wachache mtakaonielewa na kuokoa ndoa zenu ila kuna mtakaoniona nimeandika vapour sbb tayari mshaamini wanawake ni wengi ila wakuoa ni wachache,sawa sikatai ila wanawake wazuri pia wapo.Hii machinery ya kutotolesha watoto msiichukulie poa jamani,inapitia mengi.

Narudi zangu kulala nikiwaaga kwa kusema WANAUME WETU TUNAWAPENDA TUNAWAHESHIMU NA TUNAWATII ILA TUNAWAOMBA MTUVUMILIE SOMETIMES SIO AKILI ZETU NI HORMONES

Joannah
Hongera sana Mama kwa elimu nzuri.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri sana.
Ngoja nipate supu kwanza nitarudi hapa, ila nikute umeniandalia jibu ni kwa nini kwenye mahusiano ya boy friend na girlfriend wanawake huwa wako fresh sana? Hizi homoni hazifanyikazi kabla hamjaolewa? Na kwa nini mkiwa na watu wengine mnaongea vizuri tu ila homoni ndio zinaleta shida kwa mume wako peke yake?
 
Hedhi ni chakula cha majini kipindi hicho huwa majini hayakai mbali
 
Inatakiwa uongozwe na akili na ukiongozwa na homoni usilalamike kuachwa
 
Nilikuwa sijasoma ila sasa nimesoma nawachukia Sana wamama wenye MIMBA ni kisirani tupu kwahiyo mtoa mada kipindi mpo period mnatushauri tufanyeje.Tupe jibu......

a Tuwapuuze

b Tuwanyenyekee

c Tukubali hata msipotutii na kutuheshimu

d Tuwaamshie popo
ISHI NAO KWA AKILI..Do you remember?
Mungu aliwekeza akili nyingi kwa mwanaume.Zitumie
 
Back
Top Bottom