Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.


We Rebecca umesoma hapa ukapaelewa? Jamaa amekuandikia wapi umekosea unasema watu wanaku attack wakati wewe ndo ulianza.

Nakuomba soma kilichoandikwa hapa siku nyengine usije na pumba ndio bikira wengine hatuzitaki ila we ulikosea na uwasilishwaj wa mada yako.
 
msichana, kubali umemwaga pumba mwelevu huwa anakubali kukoselewa 🙂 🙂
Hakuna mahali nilipoenda op niliyemquote mwanzo alisema kuwa mwanamke bikra anakuwa hana historia ya kuumizwa kimapenzi na mimi nikasema unaweza kuwa bikra na ukawa umeshawahi kuumizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala sio Bikra, watu wote walitakiwa wasijihusishe kabisa na mapenzi hadi wanapoingia kwenye ndoa na baada ya ndoa wabaki kuwa waaminifu.

Sisemi matatizo ya ndoa yangeisha lakini yangepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Sio sawa kudai bikra kwa binti wakati mwanaume umeshachafua file.

Mwisho bikra haitoi uhakika wa mahusiano bora.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani wanaume wote wangesoma hii comment.

Wamekuwa wanafiki kulalamika kuhusu bikra na Hali wao ndiyo wanaozitoa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja ila mi nasema wanaokomalia bikra wameagizwa na waganga.. Ila Rebeca 83 unaonekana utakuwa mtundu kitandani, i love u ghafla ghafla
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani pengine bikra wanaunizwa zaidi kuliko hata hao wengine.

Hii point yake kwamba bikra hawaumizwi SI kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] anabaki kujiuliza hivi huyu mtu hajawahi kuona hata chupi yangu naumia hivi vipi ingekuwa vinginevyo si ningekufwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…