PointMschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani... Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.
Mschana B ametolewa Bikra namiaka 16 , amekuja kuolewa na Miaka 28, hapo katikati amekua na wanaume tofaut tofaut 4--8 ..nakila mwanaume aliishia kumchezea na kumuacha.
Ktk hawa wawili, ni yupi aloumizwa kihisia kiasi cha kuchukia au kuathiri maisha yake ya baadae kimahusiano?????.
Ulishwahi sikia Bikra anasema 'Sitopenda tena??? au nawachukia sana wanaume?? Au Sasa hizi siwez penda ,au siku hizi naishi nao wanavyotoka...au Akizengua namie nazengua??" .....
Ulishwah sikia izo kauli toka kwa bikra???...hii inamaana gani???... Matokeo yake, Wanawake wengi waloumizwa kihisia na wanaume walotembea nao, huja kuishia kua Mguu ndani ,mgumu nje , mwisho nmejikuta mnawapa mapenzi nusu nusu wanaume wenye udhat kwenu. Na hatimaye wanaume hao hujiona kama hawapendwi nawao hujikuta wanajiondoa taratibu.
Mbona simpo tu.
Lkn hilo Haliji, nahalitakaa kuja, ikiwa tu huyo mwanamke sio Mcha Mungu.Sawa sawa boss. Asante kwa shule. Kwa maelezo yako Inaonekana unafuatilia dini na una hofu ya MUNGU na unaamini YESU ni MUNGU, basi nikukumbushe hadithi ya kahaba aliyethaminiwa na MUNGU akamuosha miguu kwa kutumia nywele zake na mafuta. Yule hakuwa bikra na huenda ungemfata YESU akushauri angekwambia oa huyu. Anyways
Wewe kama unataka bikra kaoe bikra huzuiwi na uwe na ndoa yenye amani, na huyo mkeo utakayemuoa sijui ushampima kuwa ni bikra kweli? Anyways, usijiamini sana, bado una safari ndefu mdogo wangu.
Wewe sio muoaji.Mi bikra sitaki kabisaa...nataka aliyetengenezwa tayari...maswala ya kuanza tena tetetete...mmmmhh hapana...
Kuna utafiti unasema wanawake waliotolewa bikra kabla ya kuolewa hukumbwa na sonona lakini dalili zao zinatofautiana, Dalili moja wapo ni wewe mtoa mada,kujitutumua ili tu upate huruma ya kuungwa mkono kuwa kweli kwani bikra kitu gani? Kama ulishatolewa bikra kabla ya ndoa huna hata haja ya kutembea umevaa nguo tembea uchi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapa bikra is my first priorityMabinti mabikra huwa hata wanatamani watembee na mabango mgongoni kuwa ni bikra...utazani kuwa award kwa kuwa nayo...
Umeona wapi mtu alitaka ndoa kama bikra ni moja ya kigezo...
Wewe sio muoaji.
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Umenena mkuuKuna utafiti unasema wanawake waliotolewa bikra kabla ya kuolewa hukumbwa na sonona lakini dalili zao zinatofautiana,Dalili moja wapo ni wewe mtoa mada,kujitutumua ili tu upate huruma ya kuungwa mkono kuwa kweli kwani bikra kitu gani? Kama ulishatolewa bikra kabla ya ndoa huna hata haja ya kutembea umevaa nguo tembea uchi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malezi gani mazuri na hofu gani ya MUNGU wakati sio bikra. Mimi nazani mwenye malezi mazuri na hofu ya MUNGU Ni Bikra TUMnamshambulia mleta mada bure, inawezekana ni kweli hana bikra ila bikra hutolewa na wanaume, na bikra si muarubaini wa kugongewa mke, ukitoa mwanamke bikra haimaanishi kwamba umeweka kufuli hatogongwa na mwanaume mwingine. Hata akiwa mkeo anaweza akagongwa tu au ukakuacha akafall kwa mtu mwingine. Dada kasema, mtu yoyote anayeshadadia bikra ni mwoga na akataja na umri, na ukweli ni kwamba kuna uwezekano mkubwa yupo sahihi.
We kama upo kwe ndoa waambie watoto ukweli kuwa bikra si kufuli la kutokugongewa na waache woga. Sijamtisha mtu, nimesapoti point ya mleta mada juu ya woga.
Wengi mnaonganisha bikra na kugongewa na aliyemtoa bikra, ni kweli matukio hayo yapo ila pia ukimtoa mwanamke bikra hujaweka kufuli kuwa hatogongwa.
Ni sawa na kusema bia ni chanzo cha umaskini wakati wapo maskini wengi sana wanaokunywa maziwa tu.
Malezi mazuri na hofu ya MUNGU ndiyo suluhisho na si bikra maana mwanamke anapitia mengi mpaka kua mtu mzima, Kuishi kwingi kuona mengi. Watu wameingia vijijini kutafuta heshima na bikra na leo wanajuta.
UmenenaUkweli ni kwamba mwanamke na mke ni tofauti!
Kwenye mahusiano ya kuhit n run hawa waliotumika ni wazuri zaidi ya bikra but when it comes kwenye kuoa bikra inathamani mara elfu kumi zaidi ya aliyetumika
Mwisho nikupe pole kwa kujifariji
Hakuna aliyesema bikra worth nothing, bikra ni kiashiria kizuri cha mwanamke safi ila bikra inatolewa na sisi wanaume. Wanawake woote wasio na bikra wanawawakilisha wanaume wooote waliozitoa hizo bikra. Kama ni Malaya na wanaume waliowatoa pia ni malaya.Jamaa Mkuu Nzi ni Nyuki. ,ati anatuletea habari ambazo zipo constant ...
Aahhh Mkuu wangu, Kila Mwanadamu anastahili nafasi ya Pili....niivo mwanamke asokua Bikra aliwahi kua Bikra, wengine walitolewa kwa kubakwa, wengine kwa sababu ambazo mpaka wao hawaelewi, SASA HIYO HAIFANYI UHUKUMU TENA NAWEWE NIMTU WA WANAWAKE..
Ndio maana kila MTU huitaji nafasi ya Pili.... Mwanamke anaweza asiwe Bikra lkn AKAWA MZURI KTK NYANJA ZOTE kiasi kwamba ukawa MTU wa mafanikio sababu yake.Lkn hilo Haliji, nahalitakaa kuja, ikiwa tu huyo mwanamke sio Mcha Mungu.
Aya yule mwanamke alikua sio bikra, Lakini tazama, Huenda alikua na mteja ,huenda alikua hana pesa ,huenda alikua mbali sana... Lkn aliposikia habari za Yesu mkombozi, Aliacha kila anachofanya ,hakujali hana hela, hakujali watu watamuonaje, naye AKAAMUA KUPIGA HATUA KUMFATA YESU.
Kumbe Niktk Yesu pekee tabia zetu Hubadilishwa na kutifanya tuwe wapya kimwili nakiroho.
Ivo basi Fanya yooooote, Ukutane na bikra au lah , ILA HAKIKISHA HUYO MKEO NI MCHAJI MUNGU.
Wewe unadhani. Ni vizuri maana unachodhani ni tafsiri ya ubongo wako na si uhalisia. Nimesema safari ya maisha ni ndefu sana na ni tofauti kwa binadamu na binadamu, huenda huko mbeleni ubongo wako ukatafsiri mambo tofauti.Malezi gani mazuri na hofu gani ya MUNGU wakati sio bikra,,,Mimi nazani mwenye malezi mazuri na hofu ya MUNGU Ni Bikra TU
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Sawa mkuu,let every one hold what he/she believesWewe unadhani. Ni vizuri maana unachodhani ni tafsiri ya ubongo wako na si uhalisia. Nimesema safari ya maisha ni ndefu sana na ni tofauti kwa binadamu na binadamu, huenda huko mbeleni ubongo wako ukatafsiri mambo tofauti.
Wapiga kelele wengi wa bikra kuna uwezekano mkubwa wametoka kwenye viuno vya baba waliotoa wanawake bikra na kuwatelekeza kisha wale wanawake wakazaa mabinti waliolelewa vyema na sasa wanataka wawaoe binti zao.Kama thamani ya mwanamke inaangaliwa kwa ubikra wake, thamani ya mwanaume inaangaliwa wapi?
Na je, inawezekana kwamba Mungu alileta mfumo dume kuanzia kwenye maumbile/miili yetu? Maana sioni sehemu ya mwili wa mwanaume ambapo inamfunga asionekane kama thamani yake imepungua kwa kukitumia kiungo chake kabla ya wakati.
Poa bossSawa mkuu,let every one hold what he/she believes
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Ukimzalisha mwanamke inamaana uliamua kushiriki nae tendo la ndoa kabla ya ndoa. Kama hana sifa za mke mwema na wewe huna sifa za mume mwema.Hapo tumeelewa, kwamba mwanamke akiwa bikra pongezi kwake. Lkn kwa habari ya Mke mwema, Awe nasifa za uke wema.
Kwa muktadha huu, Unahisi sio lazima kumuoa Mwanamke ulomzalisha sababu tu hana sifa za mke mwema?