Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Mwanamke wa sahiv atampa matunzo gani mumewe zaidi ya kutoa papuchi??? hivi kutoa papuchi nayo ni kutoa matunzo?? Mrs Van
Uko sahihi mkuu.
The only thing wanajua wanaenda kuolewa ni sex.
Mengine yote anafanya housegirl.
Unfortunately na wao Ni mama wa watoto wao wa kike.
Sijui hao watoto watakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ulio uchi
Wanawake mungu anawaona..!!
inaonekana wengi mileage zimetembea kwelikweli maana wakiona mwanaume anatetea wanawake walio na mabwawa wanamsapoti kwelikweli.... 😀 😀 😀 😀 😀 ukweli ni kwamba linapokuja swala la kuoa bikra haifananishwi na vitu vya kipumbavu...Ila kama ni kugongana tu, mabwawa is the best.
 
Kama humkojozi braza hata umtoe bikira zote alizonazo, atakaefatia akamkojoza kisawasawa wewe hukumbukwi hata kama uliwahi kupitia tundu lake achilia mbali kufungua njia.

Kama una kibamia sio sababu ya kushindwa kumkojoza mwanamke.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kuwa bikra haina maana hajadate mtu mwingine zaidi ya mumewe, anaweza kuwa nae na wanaume wengine ila mahusiano yao hayakuhusisha ngono, kwa hiyo kama ni kuumizwa wao pia wanaumizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke anaeumizwa na mwanaume aliemwacha bila kufanya nae labda awe na hela sana
 
Parabora, Wewe ndio mjuaji aisee, kwani kila mahusiano lazima yahusishe kugusana nyeti? Au kama hamjagusana hayaitwi mahusiano? Au mwanamke kuumia anapotendwa ni lazima awe ameliwa? Kama hujawahi kufanyana na mtu ila una matarajio makubwa kwake akikuacha/ akikusaliti huumii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro umemalza. Nazidi kukuambia mkuu una akili nyingi Sana ...mada zako mbali mbali huwa napita nazo coz najua lazima niondoke na kitu ...huyo mtoa mada Yuko kwenye depression coz Hana muelekeo anatafuta public sympathy ...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Tango ninalo la maana haswaaa ila nitaoa bikra kama huna bikra labda unishawishi haswaaa
 
Ndo maana ulaya wanawake walitembea uchi barabarani wakipinga wanaume kuhamia kwa wanaume wenzao, kifupi wanaume wanapeana starehe wao kwa wao kwa sababu ninyi wanawake ni wapumbavu msio na shukrani, mashetani nyie! Yaani shubaka unaiita kibamia!

Wewe umejuaje kuwa mtu ana kibamia kama hujampima na kina cha Bwawa lako, ukiisha sema mtu ana kibamia maana yake wewe ni bwawa, mtu anaelea hewani.

Bikra bado ni deal tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajitahidi kujitutumua sana lakini unaongea pumba tu. Ukioa mwanamke bikra unakuwa na amani ya moyo. Mimi ni mmoja wapo wa wanaume tuliooa bikra. Mwanamke bikra ni ngumu sana kukucheat. Na ni rahisi kumwelekeza jambo na akakusikiliza.
 
Embu achani ujinga. Bikra ina heshima yake. Ingekua hivo mswati si angekua anajiokotea tu screpa mitaani huko anajitafunia. Why achague bikra, why waislam hasa jamii za kiarabu wana consider sana hii kitu, unataka kusema wote hao ni waoga, hapa fikra zako hazipo sawa na zimekosa mashiko

Wewe kama huna bikra tulia hivyo hivyo usitafute excuses na kuwarushia wanaume kejeli zako zisizokua na mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakunaga, narudia tena hakunaga mwanaume asiyependa bikra,hua tunasemaga tu mdomoni kutokana na situation mbali mbali lakin ukweli moyoni tunao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bikira ingekuwa rated as high as you want us to believe, ingeheshimiwa na wote; wanaume na wanawake. Huyo Muswati kwa vile ni mfalme, yuko tied na traditions za kule, unajuaje angekuwa mtu wa kawaida angekua ameoa mke wa aina gani? Pamoja na kuwa na tradition ya kuwa na mabikira. Je, unadhani eswatin ni sehemu wanawake wote wanaolewa na bikira zao? Hivi hushangai nchi yao ni moja ya nchi zenye watu wengi wenye virusi vya ukimwi? Now jumlisha mwenyewe kisha utoe!!!

Usini-attack, I have said, im not intimidated that easily
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…