Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Siku ukiutambua ukweli kamwe hutakaa uropoke. Hakuna mwanaume aliye na akili atataka kutelekeza mtoto, lakini inafikia mwanaume anasema hakuna namna.
Binafsi nina experience na hii kitu na sitakaa nilaumu mwanaume mwenzangu kisa katelekeza mtoto na hapa siwezi tetea ujinga... Tatizo linaanzia pale ustawi wa jamii na sheria zetu za 60's zisizoendana na wakati. Maboresho ya sheria yakifanyika mara kwa mara kamwe hutakaa uone mtoto wa mtaani.
 
Umesemaa kweli thus Mimi nikimuona mwanamke yeyeto anahangaika juani Huwa siombi hata chenji najua inakwenda kuokoa familia yake nyumbani kwake
 
Umenena vyema, 👌👌
 
Unategewaje mimba ikiwa wewe mwanaume utavaa condom yako safi ,only in Africa ambapo huonekana kupatikana kwa mtoto hata kwa jinsi msiyo ihitaji huwa ni makosa ya mwanamke
 
Sheria za wazazi walioshindwana zitazamwe upya kwa maslahi ya mtoto.
 
Zipo, tena mwanamke akiamua lake, atakulaghai ata iyo condom usivae.
Kwamba mwanamke utakapovaa Condom atakukaba uivue ili yeye apate mimba ,
Hii ipo Afrika tu,kwamba kupatikana kwa mimba huwa ni makosa ya mwanamke,mwanaume hana cha kuwajibika kwenye hilo na ndio maana hatuna sheria kali za kuwabana wanao kimbia majukumu kwa sababu inaonekana sio makosa yenu kutokana na mfumo dume uliopo
 
Hii ndio mimi niliifanya kwa watoto wangu wote 5 wa mama tofauti. Niligoma kutoa matumizi, lakini nilikubali kuwalea na mwisho wa siku wanangu wote 5 niliwachukua na kuwalea mwenyewe, kabla sijaoa na tukapata watoto wengine 3😊😊
Mkuu uko really saana,😁
 
Umesemaa kweli thus Mimi nikimuona mwanamke yeyeto anahangaika juani Huwa siombi hata chenji najua inakwenda kuokoa familia yake nyumbani kwake
Nakutana nao kibao Sana ! Unakuta mdada kabeba mtoto mgongoni anauza maji ya kandoro na mihogo kichwani dah naumiaga sana
 
Nyege zinawaponza na kupenda maisha ya Bongo movie
 
Hii ndio mimi niliifanya kwa watoto wangu wote 5 wa mama tofauti. Niligoma kutoa matumizi, lakini nilikubali kuwalea na mwisho wa siku wanangu wote 5 niliwachukua na kuwalea mwenyewe, kabla sijaoa na tukapata watoto wengine 3😊😊
Ulianza mechi tayari una 5 bila
 
Unakuwaje Baba unayewajibika wakati mtoto hukai naye?
 
Inaonekana Afrika ni kama vile ndipo mahali palipo zaliwa zinaa ,dhulma na ujinga
Na kwa kua viongozi wetu pia ni wahanga wa hayo yote basi tumejikuta hatuwezi hata kutunga sheria kali za kuwawajibisha wazazi wanaokimbia wajibu wao kwa sababu dhaifu dhaifu sana ,
Hili tatizo la kutelekeza malezi lipo zaidi Afrika kuliko mahali popote Duniani ,je wanawake wa Afrika ndio kusema kwamba ni wakosefu ,sio wasikivu na wakorofi wasio faa kuliko wanawake wengine wowote Duniani !?
 
Baba hapaswi mutoa matumizi aiseee....Baba anae mpenda mtoto wake anapaswa amlee mwanae. Kama ni matumizi tunatoaga wajomba, mashangazi, babu na bibi
Naunga mkono hoja. Utamkuta braza men anajidai anapenda watoto wakati anao watatu amewatelekeza kijijini kwa Bibi na Babu anajidai kutuma hizo mia mia zake
 
Ni Tatizo la kimaadili ingawa wafrika wenyewe wanaamini wana maadili mema kuliko watu woote duniani
 
Punguza Upumbavu dada % ndogo sana ya singo maza wamebakwa wengi wao wamezalishwa kwa kujitakia wenyewe,


Wao si wanaendekeza mapenzi tena wanavyopenda kukojolewa ndani sasa, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aseee,
 
Una fikra finyu sana ,hakuna ulichonijibu zaidi ya kujitukuza
Sawa endeleeni kuongezeka tu, sasa sisi tufanyaje mmeamua wenyewe kukojolewa na madunga embe hayo ndo matokeo yake

Ama kama vipi na nyie tafuteni hela zenu muache kulia lia humu kama mitoto ya shule
 
ndio atakwambia uvue na utavua tu, unaongelea mfumo dume tena! kama ulinielewa , hapo akuna suala la mfumo dume, ni harakati za mapenzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…