masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #21
Upo sahihiUliyoongea ni kweli kabisa, ila kila kitu kwa kiasi, hata kutamani ufanye kwa kiasi, kutamani sio dhambi kwa sababu ni hisia tulioumbiwa nayo, tungekuwa hatutamani tusingekuwa tunajituma wala kuoa, mm nina "matamanio" ya kuishi maisha ya kiwango flani ndo maana nipo napambana, nikikutana na mdada mzuri mwenye tabia nzuri, mwanzoni kabla hatuja fahamiana lazima "nimtamani" kwanza kabla ya kum-approach.
Matamanio ndio yanayomfanya mtu anyanyuke afanye jambo fulani, ila ukizidisha matamanio ndo shida inapokuja, ndo maana Yesu anasisitiza "tuwe na kiasi"
Kula sio ulafi, lakini kula kiasi kingi hadi wenzako wakakosa chakula ni ulafi.
Cha msingi ni kuzitawala hisia