Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Thubutu yake. Katika mambo nakwepa ni kumuonesha mwanaume nimemuelewa kabla hajanitamkia chochote. Hiki kitu nakiogopa kupita maelezo.
Huna sababu ya kuogopa, huo uoga wa kusubiria mpaka utongozwe na mwanaume unaempenda, ndo unafanya wanawake wengi mnaishia ku-date na wanaume ma-hamorapa (wenye sura mbaya) mwishowe mnawachuna hela na kuwapiga na vitu vizito.

Wanaume wengi ni maharage ya mbeya, huyo dokta muoneshe ishara za kike kuwa umempenda, asipoelewa mchane live, kuna uwezekano asilimia 95 atakukubali, ingawa shida ni kama unataka long term relationship naye, anaweza aka-sex na wewe halafu akakuacha.

Binafsi mdada akinitongoza naona fresh, ila kama nkimuona hanivutii, sitoweza ku-sex nae, namkataa na kumkwepa kijanja. Kelsea
 
Screenshot_20240429-173453_1.jpg
 
Huwa inatokea ila akipotea machoni naendelea na mambo mengine.

Kuna hospitali nilienda kuna daktari nilimkuta jamani kuna wanaume wana mionekano mizuri unabaki kuduwaa. Nikapewa huduma nikasepa japo nilitamani kuendelea kumuona.
Daktari nimekuja
Naomba unipokee
 
Huna sababu ya kuogopa, huo uoga wa kusubiria mpaka utongozwe na mwanaume unaempenda, ndo unafanya wanawake wengi mnaishia ku-date na wanaume ma-hamorapa (wenye sura mbaya) mwishowe mnawachuna hela na kuwapiga na vitu vizito.

Wanaume wengi ni maharage ya mbeya, huyo dokta muoneshe ishara za kike kuwa umempenda, asipoelewa mchane live, kuna uwezekano asilimia 95 atakukubali, ingawa shida ni kama unataka long term relationship naye, anaweza aka-sex na wewe halafu akakuacha.

Binafsi mdada akinitongoza naona fresh, ila kama nkimuona hanivutii, sitoweza ku-sex nae, namkataa na kumkwepa kijanja. Kelsea
Labda ningekuwa na uwezo wa kujua kiwango cha kujitambua cha mwanaume husika ningeweza kufanya hivyo lakini vinginevyo hapana naogopa sana.
 
Back
Top Bottom