Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Upo sahihi
Cha msingi ni kuzitawala hisia
 
Kwa hiyo tayari tushazini
 
N swala la mda tuu..una kilaa dalili za kuja kuchepuka...narudia tena n swala la mda utataman kukutana na mwngne .....
NB: KATAA NDOA..
Nitajizuia mkuu
Kuna wanaotamani magari njiani makali lakini hawawi wezi kwenda kutaiba kuyamiliki
Kutamani kama mtu hatamani chochote basi ni mfu lengo kuu ni kuzitawala hisia
 
mimi nimetafuta kwenye kamusi ya Tuki sijaona sehemu inayosema jirani ni mtu yoyote. Embu tutafutie wewe hiyo kamusi inayosema haya maneno😂😂
 
Namba ulichukua?

Machalii wa Arusha (wadudu) jikusanyeni, dada yenu amewamiss.
Hatua ya kwanza ya kuchepuka ni kichukua namba
I cant risk my love life
Mume wangu ni kama rafiki yangu kwa sasa its been 8yrs and i cant imagine life without him.
Is not about minyanduano any more
Tunaweza spend like 3 hrs kitandani tunapiga stori tu
So BIG no sichukui namba sitoi namba nyege ni dakika 30 tu ila una ruin maisha na familia yako in general
 
Haya ndio mambo ya kina Christina Shusho ya kuolewa na miaka 19,anadai alikuwa bado mdogo..
 
Kuna wimbo aliwahi kuimba Stara Thomas "Usione So Sema naye....."

Ila hakuna raha Kwa Sisi Wanaume kama kuambiwa unapendwa na mrembo 😅

Uzuri wake Siku hiyo hiyo utakayosema ndiyo Siku hiyo hiyo ombi lako linakubaliwa....sio kama ninyi eti hadi ukae miezi ama Mwaka umfikirie jibu la kumpa 😜🙌
 
Dada mbona kama ulikuwa na haraka yakutuambia hii habari!? Yaani ungetulia nayo ingekuwa bonge la stori ila umefanya haraka yaani baada tu ya jamaa kutokomea nawe ukachukua sim kutuhabarisha,
Ukipata mda andika Tena hii habari mi lengo langu nijue tu kweli unailinda ndoa Yako au kwakuwa jamaa hajakomalia mzigo nawe umeona Huna namna yakumuona Tena!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…