Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Kuna demu kipind nipo olevo alikua anatongoza boys kwa kuandika barua sema alikua na Pepo la umalayaaa kama uyu mtoa mada leo.......
Jamani mnamshambulia huyu dada bure kwa kuweka wazi hisia zake lakini ukweli ni kwamba haya mambo yapo kwa wanawake wengi ila hawathubutu kuleta uzi hapa kama huyu dada, ila wapo hata wanaothubutu kutongoza wanaume na sio jambo geni ni mambo yapo tangu enzi si mnakumbuka kijana Yusufu alivyotamaniwa na mke wa bosi wake?
 
Ukitamani umeshazini, katubu.
 
Umeona hayo mawazo na ndio sababu kuna wadada hata iweje ni marufuku kumtamkia mwanaume mambo ya kumpenda mana mwisho wa siku unaweza ishia kudhalilishwa.
 
Mwanaume ndo anatamani ila mwanamke anapenda mazima ni hatar sana kuwa na mke mwenye tabia kama za mleta mada ndoama jamii nyingi zikawapa majina mabaya kama malaya,changudoa...ili isije kuwa mtafaruku kwenye jamii maana mwanamke bila kumuwekea sheria kali ni hatar sana
 

Yule kijana mwenyewe ndio mimi hapa nipo Arusha nitafute
 
Mimi udhaifu wangu upo hapo sipendi wanaume waongeaji .mume wangu ni mkimya sana
Yaani watu ninaovutiwa nao ni wa aina hiyo ukiongea sana tayari hunivutii tena

Sanaa ya ku-approach haina maana mwanaume anaongea sana bali kujua wakati gani wa ku-engage and how to engage, inaweza isiwe kwa maneno ikawa kwa vitendo etc
 
Mi kuna kidada cha singida kilinielewa aisee yule binti ni mzuri lahaula , alikuwa ananitamkia live mi ndo nimekupenda G , naomba unipende na mie pleasee basi mi mbichwa huoo, long distance mi ikanishinda nikawa namignore nikapotezana nae mawasiliano kama mwaka hivi nikaja mcheki tena tukaendelea tulipoishia, ila alikuja zalishwa siku nikienda dom ntakula mtafuta na si huyo pekee kuna mmoja nimepotezana nae mazima binti wa kipemba yule sijui jini mamaee
 
Kutoka 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Jiranii jirani yangu eeh nimekukosea nini ? Kila unachokitaka jirani eeh mimi ninakupatia ila ninachokuomba jirani eeh unanikatalia.. sasa nikueleweje jirani eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…