Hivi mke mmoja + nyeto sio uaminifu?Eti unasema wanaume wasiowaaminifu wana IQ ndogo? Ina maana walishindwa hata hesabu rahisi ya Mke 1 + uaminifu = amani
Wakaamua kufanya hesabu ngumu ya Mke 1 + mpango wa kando - amani Γ· ugomvi x stress!
Hapo kweli akili ni "0" kabisa.
π
Mke mmoja + punyeto? Mmmh!!Hivi mke mmoja + nyeto sio uaminifu?
Kwani hawa wanaume wote unaosema wana iq ndogo sababu si waaminifu, unajua sababu za hayo wanayofanya kasoro Balthazar Tuu?Sijajua kama alichokifanya kilisababishwa na nini.
Labda ni kisasi
Hakuna mtihani mzuri kama wakujisahishia mwenyewe ,unachagua tu ujipe alama ngap na umalize kwa mda gani ,hata kama ni dakika mbili tu unamaliza mtihani bila malalamiko wala maswali .Mke mmoja + punyeto? Mmmh!!
Hii hesabu inakaa kama mchezaji wa akiba anayejipanga mwenyewe uwanjani. Sasa sijui referee (mke) atakubali au ataonyesha kadi nyekundu!
Hii hesabu ni ile mitihani tuliyokua tunajisahishia wenyewe! π
Nyeto ni sawa na kuchepuka tu,unamdhulumu mkeo.Hivi mke mmoja + nyeto sio uaminifu?
Kweli kabisa! Huo ni mtihani wa utulivuβhakuna stress, hakuna maswali, na mtu unafaulu hata bila kutoa jasho!Hakuna mtihani mzuri kama wakujisahishia mwenyewe ,unachagua tu ujipe alama ngap na umalize kwa mda gani ,hata kama ni dakika mbili tu unamaliza mtihani bila malalamiko wala maswali .
Tupe reference, ni utafiti gani wa mwaka gani?Kwema Wakuu!
Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.
Hayo sio maoni bali ni fact.
Nimeuliza tu mkuu πNyeto ni sawa na kuchepuka tu,unamdhulumu mkeo.
π
Mkuu wote tunaweza kubali kuwa mtu mwenye iq kubwa anauwezo mkubwa wa kutatua changamoto, hauoni kuwa pia kuwa mwaminifu ni njia ya kutatua changamoto fulani ?π€Tupe reference, ni utafiti gani wa mwaka gani?
Suala la kuwa mwaminifu ni Emotional, halihusiani na IQ.
Sidhani kama uko sawa kwenye hili maana mtu anaweza kuwa na wanawake 10 wote kawapanga na kila mmoja ana muda wake then mtu huyo awe na IQ ndogo! Au unasemaje ndugu yangu Zero IQKwema Wakuu!
Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.
Hayo sio maoni bali ni fact.
Tupe reference, ni utafiti gani wa mwaka gani?
Suala la kuwa mwaminifu ni Emotional, halihusiani na IQ.
Mkuu mbona akili kututawala ni point ya maana sana.Yaani mpka binadamu tutakapokuwa na uwezo wa kuitawala akili.. otherwise akili itaendelea kututawala