zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hauelewi psychology kabisa, mbona Lumumba alikua muadilifu ila alikua anapenda malaya wa kizungu!! Tena kama hujui introverts na magenius wengi ndio wanapenda wanawake maana ndio kama strategy ya kuepuka Upweke.Kiujumla.
Sasa mtu sio mwaminifu kwa mkewe atakuwa mwaminifu kwa mtu back?
Hauelewi psychology kabisa, mbona Lumumba alikua muadilifu ila alikua anapenda malaya wa kizungu!! Tena kama hujui introverts na magenius wengi ndio wanapenda wanawake maana ndio kama strategy ya kuepuka Upweke.
kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:-Kwema Wakuu!
Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.
Hayo sio maoni bali ni fact.
kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:-
- mwanaume pamoja ameubwa kuwa na vichwa viwili lakini hawezi kutumia vyote kwa usahihi kwa pamoja. kwa kuwa ameubwa kufanya vizuri jambo moja vizuri kwa wakati mmoja. mfano mwanaume simu ikiita lazima asimame kwanza aipokee kisha ndo aendelee kutembea au kufanya hilo analofanya na katia ya simu na anchofanya kimoja anaweza asikifanye kwa uaminifu. tofauti na wanawake.
- lakni mithali 6:32 inasema anayezini na mwanamke huyu hana akili kabisa hivyo kadri unavyopenda wanawake uwezo wako unapungua.
- katika jambo ambalo halihitaji akilia kubwa ni kutongoza wanawake sasa ukiwekeza sana huku utakuwa unawaza vitu rahisi wakati wote hufikirishi ubongo kuwaza mambo makubwa na huna muda wa kukaa na wanaume wenzako wakakupa majibu mapya ya changamoto mpya muda wako mwingi unafikiria jinsi gani utaweka kisu chako katika ala.
- muda wote unafikiria mission huna vision kwa kadri ulivyoubwa unawaza kike zaidi na wakati mwingine unaweza kujikuta unakuwa na tabia za kike ikiwemo kutokuwa mvumilivu kwa tukio fulani (huna kaba) na pia jamii haiwezi kukuamini.
Ukiwa huna nguvu za kiume lazima utakuwa mwaminifu kwenye ndoa
1. MFALME SULEIMAN ✓Hakuna mwanaume hata Mmoja asiyemwaminifu ambaye Mungu alimtumia.
Unaweza ukataja hao wanaume wasiowaaminifu waliotumiwa na Mungu
Kweli Bro.Ukiwa huna nguvu za kiume lazima utakuwa mwaminifu kwenye ndoa
Ni kweli sisi waaminifu tuna IQ kubwa sana...Kwema Wakuu!
Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.
Hayo sio maoni bali ni fact.
Hii si kweli kabisa 🤣🤣🤣Tafiti zinaonyesha wanaume wanaotoka na wanawake hovyohovyo ndio wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Hizo ni tafiti.
Unaweza uliza hata wanawake hapa watakueleza
Andiko lako halijitoshelezi, why and how? Rearch imefanyika wapi na wataalamu wapi na methods gani zimetumika? Publication iko wapi?Kwema Wakuu!
Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.
Hayo sio maoni bali ni fact.
Eeh, kwasababu unaogopa kuachwa na Siri zako kuanikwa nje na x wako.Ukiwa huna nguvu za kiume lazima utakuwa mwaminifu kwenye ndoa
Kuna wengine wamefanya makubwa wakiwa na wanawake lukuki mfano mfalume SuleimanWanaume wengi waliofanya Makubwa ya mchango duniani hawakuwa karibu na wanawake ( kichwa cha chini hakikuwatawala).
True kabisa.Mhmm
Sio mifano uthibitisho kuwa ni kweli na sio hadithi tu.True kabisa.
Au unataka mifano?
Unaweza kuonyesha hilo ni wapi mleta mada ametaja hayo uliyoyasema wewe?
Ni kweli ametaja Gender wanaume ila hajaweka specific kua ni uaminifu upi hasa anaouongelea,
Ndio maana kuna comments zingine,zinauliza kua mleta mada anaongelea uaminifu kwenye nini?
Hili ni kweli hivi uko na mke mmoja na kila siku unaiona hiyo hiyo na bado bwana mkubwA anasisima na kupiga kazi zake,hawA wenye michepsi wengi hawezi kusimamisha kwa mke aliyemzoeA muda mrefu .Tafiti zinaonyesha wanaume wanaotoka na wanawake hovyohovyo ndio wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Hizo ni tafiti.
Unaweza uliza hata wanawake hapa watakueleza