Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sawa sawa mkuu. Inaonekana wewe hauna uchoyo kabisa, embu tupia namba ya shemeji uko pm basi nimsalimie.Sina haja ya kucheki DNA kitanda hakizai haramu, kupiwa hakukwepeki, tulio enda jando wazee wetu walitufundisha ukirudi nyumbani toa taarifa...!
Hivyo ukilielewa Hilo somo utagundua kuwa mambo ya kuchapiana yalikuwepo tokea dhama za kale ila wenzetu walichapiana kwa kuheshimiana...!
Ooh imekaa poa sana hiiLast weekend tar 6 jumamos, tulikua tunapiga stori za hapa na pale na madogo, nikaanza kuwasimulia namna ambavyo sisi tukiwa katika umrinkama wao zaman tulilelewa vipi.
Nikawa nawaambia namna tulivyokua tuna develop skills katika michezo yetu ya utotoni tofaut na wao.
Nikawaambia zaman sis wengi hatukua na uwezo wa kununuliwa toys za magari hivyo watoto wa kiume tulikua tuna uwezo wa kutengeneza magari yetu wenyewe kwa kutumia malighaf zinazotuzunguka na tunayaendesha kwa kuyakokota for kilometers.
Magari ya mbao
Magari ya waya
Magari ya bati/makopo.
Nikawafundisha kwa kuwaonyesha namna tulikua tunafanya kwa vitendo siwezi kuweka clip hapa but nikakusanya makopo yoote matupu ya maziwa for demonstration...
Dogo akasema "tengeneza Kirikuu kama hayo unayosema ni ya kweli" 😂
View attachment 3038574View attachment 3038575
Wakawa very inspired.
Mtoto wa 22 years si rahisi kumbadilisha ingawa mtu umemsomesha Feza. Jambo la msingi ni kujidhatiti na maisha ili mfuko usiteteleke hata kukosa pesa ya kuchimba kaburi lako. Kikubwa akihitaji msaada unampa bila ubaguzi.Iyo ni ngumu kweli aisee
Kunawakat wamama wanapandikiza chuki Kwa watoto au kuwafanya kitega uchumi kupata wanachotak hapa ni kusimsma tu
Ongea na mwanao mara Kwa mara Mpe anachotaka bila kupitia nyuma ya mtu
Msaidie kiakili pia kumpa nasahau mara Kwa mara ajijue yeye ni nani na aweze kujisimamia
Ila nao wakioa wanakuja gundua baba yao alikuwa right mama kimeoPia wamama waache kuwapa sumu au maneno mabaya watoto kuhusu baba zao, hii pia huchangia watoto kuwachukia au kuwatenga Baba zao waliopo mbali nao.
Exactly ndio hata hiyo clip wamezungumzia sumu zinakuja ukiwa unapmbna sana lkn huonyeshi kuwa upoPia wamama waache kuwapa sumu au maneno mabaya watoto kuhusu baba zao, hii pia huchangia watoto kuwachukia au kuwatenga Baba zao waliopo mbali nao.
Kabisa japo unaweza ukawa na Mali nyingi uzeeni ukakosa wa kukushika Kwa upendo kukutoa kuota juaHaina formula hii ushiriki usishiriki ni bahati tu.
Muhimu ni ujipange ujitegemee uzeeni
Sahihi kabisa, mtoto anaweza kudhani Baba yake hampendi kumbe Mama ndio sababuExactly ndio hata hiyo clip wamezungumzia sumu zinakuja ukiwa unapmbna sana lkn huonyeshi kuwa upo
Ukiwepo bas uwepo wakuone wanao,
unaweza toa buku mama akaenda kumpa miatano alafu akasema nimetoa hii mwanangu katumie kumbe Haina uhalisia 😀😀
Pia wamama wanakuwa na chuki ambazo chanzo ni hisia za kimapenzi kwa maana ya wivu, wanasahau watoto hawapaswi kuhusishwa na hisia za mama juu ya Baba yao.Ila nao wakioa wanakuja gundua baba yao alikuwa right mama kimeo
Juzi tu hapo kuna binti kaolewa kalelewa na Baba wa kambo miaka 25 siku ya harusi anamtambua Baba yake kwa furaha na mikogo na kumsahau Baba yake wa kambo ambae amemlea miaka 25 yote, kwa hio tusiishi kwa kukaririKwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote
Hapo director ni mama hakuna mwingineJuzi tu hapo kuna binti kaolewa kalelewa na Baba wa kambo miaka 25 siku ya harusi anamtambua Baba yake kwa furaha na mikogo na kumsahau Baba yake wa kambo ambae amemlea miaka 25 yote, kwa hio tusiishi kwa kukariri
Watoto wako wamepata baba😉Ahahahah...mimi madogo kiukwel kuna time nakula nao sahani 1 msosi huwa namwambia wife weka huo ugali kwenye sinia and we have a communion tumekaa chini woote. Wako wa 3 wa kike na 1 wa kiume
Director ni Mama kivipi?Hapo director ni mama hakuna mwingine
Ipo chuki ya asili kati ya mwanamke dhidi ya mwanaume sababu ya nguvu ya Lilith inayowavaa wanawake wengi.Pia wamama wanakuwa na chuki ambazo chanzo ni hisia za kimapenzi kwa maana ya wivu, wanasahau watoto hawapaswi kuhusishwa na hisia za mama juu ya Baba yao.
Engo hiyo ni unatafuta sababu ili baba yako aonekane mbaya....
Hebu imagine ungetengwa na babayako ungejisikiaje hata km unapambana?
Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code
Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu nikakuelewa Kwa sabbu nimekuwa katika hali ambayo namuona akiwa anahangaika kwaajili ya yangu na familia yetu
Ngoja niwape mambo hapa machache
Kwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote
Watoto wakiwa wadogo hujifunza sana Kwa kuona kilakitu kutoka Kwa wazazi
Akikua akiwa hakuoni na uko hai ni mbaya hata kwenye ukuaji hawezi kuelewa hata kama ulipambana huko nyuma ya pazia onyesh upendo wa wazi nae ataishi hivo hivo ukubwani
Kuna kutofautiana Kwa wale ambao wako mbali na watoto acha kumtumia mama kufikisha ujumbe Kwa mwanao Kila mara labda kama ni mdogosana
hakikisha unawasliana na anakuwa uhuru kusema kinachomsumbua aone wewe ndio babayake halisi hata uwe umbali mara elf 5 inaongeza upendo Kwa mtoto
Shiriki matukio ya furaha na wanao tenga muda wa kuwa nao pamoja hata mara chache kuongea nao na kufurahi
KWANGU
Kila kitu kilikuwa wazi tunajua nani ni kichwa Cha familia,akosi chochote Cha kishiriki na watoto kama ana nafas atakuita hata mbrash viatu vyake
bond Ilikuwa Bora sana
Hakutaka kumtumia mama aseme chochote Zaid tulikuwa tunawasiliana moja kw moja hafanyi chochote Hadi neno litoke kwangu direct na atanipa majibu mwenyew pia
Hakuna anaweza kuniyumbisha kuhus kumpenda Wala siwez mkubaliana mtu akisema alikuwa mbaya hata mama siwez muelewa
Jitahid kuwa karibu na kishiriki malezi acheni kuona nyie sio wahusika kwenye kuwajenga watoto wenu
Nimeongezea na kavideo hapo chiniView attachment 3038392
A young man was getting ready to graduate from college. For many months he had admired a beautiful sports car in a dealer’s showroom, and knowing that his father could well afford it, he told him that was all he wanted.
As Graduation Day approached the young man awaited signs that his father had purchased the car for him. Finally on the day he was to graduate his father called him into his private study, told him how proud he was to have such a fine son and how much he loved him. He then handed him a beautifully wrapped gift box.
Curious, but somewhat disappointed the young man opened the box and found a lovely leather bound Bible with his name embossed on it in gold. He was angry so he raised his voice to his father and said, “With all of your money you give me a Bible rather than the sports car I wanted.” He then stormed out of the house leaving the Bible behind.
Many years passed and the young man was very successful in the business he went in. He had a beautiful home and a wonderful family but realized when he thought about his father that he was very old. He then decided that perhaps he should go to see him because he had not seen him since that graduation day.
However, before he could make arrangements to go he received a phone call from a funeral home director telling him that his father had passed away and had willed all of his possessions to him. He was told that he needed to come home immediately and take care of things.
When the son arrived at his father’s house sadness and regret filled his heart. He began to search through his father’s important documents and saw the Bible his father had given him for graduation. The Bible looked new just as it was years ago when he was given it.
With tears in his eyes he opened the Bible and began to turn through the pages. His father had carefully underlined a verse which was Matthew 7:11 which reads, “And if ye being evil know how to give good gifts to your children how much more shall your Heavenly Father which is in Heaven give to those who ask Him.”
As the son read those words a car key dropped from the back of the Bible. It had a tag on it with the car dealer’s name, the same dealer who had the sports car that he wanted so badly for his college graduation. On the tag was the date of his graduation and the words written in large print “PAID IN FULL.”
Mzee mambo yake nikifuatilia anashangaa anaona kama stranger anamfuatilia, nikaacha kuyaona kama mambo yetu na kuyaona kama ya kwao. Sasa yangu machache hivi nayaacha asiyajue, ni kama mtu bakiHuyo ni baba angu kabisa...!
Karibu sana mkuu!Ni kweli alafu nilitaka nikutafute nina ishu unielekeze kuhus bat