Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,041
Reaction score
46,239
Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code

Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu nikakuelewa Kwa sabbu nimekuwa katika hali ambayo namuona akiwa anahangaika kwaajili ya yangu na familia yetu

Ngoja niwape mambo hapa machache

Kwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote

Watoto wakiwa wadogo hujifunza sana Kwa kuona kilakitu kutoka Kwa wazazi
Akikua akiwa hakuoni na uko hai ni mbaya hata kwenye ukuaji hawezi kuelewa hata kama ulipambana huko nyuma ya pazia onyesh upendo wa wazi nae ataishi hivo hivo ukubwani

Kuna kutofautiana Kwa wale ambao wako mbali na watoto acha kumtumia mama kufikisha ujumbe Kwa mwanao Kila mara labda kama ni mdogosana
hakikisha unawasliana na anakuwa uhuru kusema kinachomsumbua aone wewe ndio babayake halisi hata uwe umbali mara elf 5 inaongeza upendo Kwa mtoto

Shiriki matukio ya furaha na wanao tenga muda wa kuwa nao pamoja hata mara chache kuongea nao na kufurahi

KWANGU

Kila kitu kilikuwa wazi tunajua nani ni kichwa Cha familia,akosi chochote Cha kishiriki na watoto kama ana nafas atakuita hata mbrash viatu vyake
bond Ilikuwa Bora sana

Hakutaka kumtumia mama aseme chochote Zaid tulikuwa tunawasiliana moja kw moja hafanyi chochote Hadi neno litoke kwangu direct na atanipa majibu mwenyew pia

Hakuna anaweza kuniyumbisha kuhus kumpenda Wala siwez mkubaliana mtu akisema alikuwa mbaya hata mama siwez muelewa
Jitahid kuwa karibu na kishiriki malezi acheni kuona nyie sio wahusika kwenye kuwajenga watoto wenu

Nimeongezea na kavideo hapo chini
 
Leo wanaume tumekumbukwa kwa kuwa wapweke muda mrefu hahaha mie nawaonueshaga mpka mshahara wangu nakiwaambia mnaona hilo

Kila mtoto anaakili yake mie sikulelewa ana wazazi wote lkn nachojua kupitia wao mie nilizaliwa nipambane kiume tu nitoke huko simlaumu baba wala mama
 
😃😃😃Kumuonyesha mshahara Tena jamni
Lakini mapenz Kwa watoto ni jambo la kheri
Hebu imagine ungetengwa na babayako ungejisikiaje hata km unapambana?
 
Kila nikisikia mtu anaongelea malezi ya baba huwa nawaza sana, "malezi yake yakoje, upendo wake kwa wanawe je?" malezi yake na ya mama yana utofauti upi?
Ila ndio hivyo sikubahatika kuyapata wala kuyaona😥 RIP Baba.
Hongereni kwa kila aliewahi kupata malezi na upendo wake.
 
Pole sana ni Mipango ya Mungu
 
Back
Top Bottom