Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo.

Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji ila hazikuwa za kujitoa muhanga wala kujilipua. Baadae maafisa wa usalama walifika nakuwachukua kwa upelelezi zaidi ila ikabainika sio magaidi, na sasa wamefungua shauri mahakamani kwa kuzalilishwa kisa kikiwa kuongea kiarabu kwenye dege la wazungu!

 
Movie za Hollywood zinaonyeshaga waarabu wakiongea wenyewe kwa wenyewe kwa sauti halafu wanamalizia kwa kusema Takbiiiiiiiiiiiiiiir,kifuatacho Ni mlipuko.

Naona hizo movie zimewaathiri wazungu.
na muislamu akisema Takhbiiir, ujue Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Booooooooooooooooooooooooooooom
 
Wanaandikaje minyoo kwenye nchi za watu?
 

safi sana
 
Hivi mwarabu alimkosea nini mzungu?

na wakati huo huo mwafrika anamnyenyekea mwarabu sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasema ukiumwa na nyoka kila uonapo jani lazima utashtuka. Kusema kweli mimi nadhani ni vizuri kuchukuwa tahadhari kwa kila jambo potelea mbali lawama. Kuhusu mwafrikamtu kunyenyekea mwarabu labda niseme siyo mwarabu tu ila mwafrika ananyenyekea races zote nyingine za dunia hii. Mwafika anaweza kumuua mwafika mwenzake na akaacha jamii nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…