Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo.
Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji ila hazikuwa za kujitoa muhanga wala kujilipua. Baadae maafisa wa usalama walifika nakuwachukua kwa upelelezi zaidi ila ikabainika sio magaidi, na sasa wamefungua shauri mahakamani kwa kuzalilishwa kisa kikiwa kuongea kiarabu kwenye dege la wazungu!
View attachment 2318918View attachment 2319060
Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe tu 😁😁😁 kuongea kiarabu ndio wamshuku gaidi!! Ugaidi wameleta wao na wasiwasingizie waarabu.