Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ukweli mchunguNimekaa uarabuni aisee acha tuu hawa jamaa wasikie tuu wana roho mbaya sana ,tena ukute wewe si wa din yao,wabaguz siyo mchezo ,niliishia kuwala wanigeria,na wasomali uchwara ,ukimgusa mtoto wa kiarabu umekwisha,alafu umkute mwarabu ana hela ,anakua shetan kabisa ,ndio maana hawatakiwi wawe super power ,watatuangamiza kabisa