Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

true, but uzoefu unaonesha kama kuna kundi la waislamu wamechafukwa, wakisema hivyo ujue hapakaliki!
Uzoefu wa Hollywood mkuu jinsi ulivyoamua kuonyesha picha ya waislam kwa dunia. Imetumika kama 'catch phrase' waliyoihusisha na ugaidi/uislam.

Tembelea mihadhara (mikusanyiko ya kidini) na misikitini utasikia sana Takbiir ikijibiwa na Allahu Akbar pasi kutokea mlipuko
 
Uzoefu wa Hollywood mkuu jinsi ulivyoamua kuonyesha picha ya waislam kwa dunia. Imetumika kama 'catch phrase' waliyoihusisha na ugaidi/uislam.

Tembelea mihadhara (mikusanyiko ya kidini) na misikitini utasikia sana Takbiir ikijibiwa na Allahu Akbar.
uko sahihi kabisa, lakini wakitaka kujibu "mapigo" wanatumia neno hilo......kama call up ya twende tutende
 
Kulipa fine sio shida lkn hawataki litokee la kutokea wajilaumu
pengine movie hairudiwi

next time hatumiki tena Mwarabu …atatumika Black or Mzungu wa Ulaya mashariki

Jamaa wakipanga lao hujipanga kweli
 
WWa
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo.

Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji ila hazikuwa za kujitoa muhanga wala kujilipua. Baadae maafisa wa usalama walifika nakuwachukua kwa upelelezi zaidi ila ikabainika sio magaidi, na sasa wamefungua shauri mahakamani kwa kuzalilishwa kisa kikiwa kuongea kiarabu kwenye dege la wazungu!

View attachment 2318918
Hivi mwarabu alimkosea nini mzungu?

na wakati huo huo mwafrika anamnyenyekea mwarabu sana😅😅😅😂😂😂
Unampenda sana mzungu hongera ila angalia ni ninamna gani anajifunza shabaha kwa kuwalenga waafrika huko ulaya jitazame na wewe lini utakuwa shabaha yake
 
Back
Top Bottom