Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

Huyo mzungu hujui kua yeye amedhuru wangapi hapa Duniani? Au ndio mahaba niue yamesha kutawala?
 
Islamic phobia US na Europe iko juu sana, kibaya zaidi wamefungwa na democracy lakini wanatamani watimuliwe wote nchini mwao, kwasabb idadi yao inaongezeka kwa kasi kuliko dini yoyote duniani
Kulingana na asili yao waarabu ni wakorofi in nature
 
Wangeajiri muhudumu muarabu angweza kuwatafsiria kilichoongelewa hapo kwa urahisi
 
Hili jambo ni rahisi tu kila Mtu kutoa hisia zake kwa kuwa hatukuwepo eneo la tukio.

Ni ngumu kujua Hao raia wa Kiarabu walikuwa wanajiweka kwenye mazingira gani...huenda wao wenyewe walikuwa wanatengeneza mazingira ya kuwasumbua au kuwaogofya wengine.

Na tusisahau kuna ule usemi "ukiumwa na nyoka ukiona unyasi.............." tusiongozwe na ushabiki tu bali tuvae viatu vya hao Abiria wengine pia.

Na tujiulize kwani ni Waarabu wao tu ndio wamesafiri na hiyo Ndege kwa miezi sita iliyopita?.
 
Huwa hawakubaliani na ujinga wa mzungu
Elewa kuwa wengi majenga hofu na waarabu haswa kulingana na matukio ya kipindi cha nyuma yanayosababishwa na imani kali!
 
Kwenye heading wanaume wawili wakiislamu ila maelezo yako unasema walikuwa wanaume wawili wakiarabu hii uhamaanisha nin? Au unafikiri kila muarabu ni muislamu??
 
Kwenye heading wanaume wawili wakiislamu ila maelezo yako unasema walikuwa wanaume wawili wakiarabu hii uhamaanisha nin? Au unafikiri kila muarabu ni muislamu??
Ni waislamu ndio hakuna mjadala mkuu utake usitake labda kama unalako jambo!
 
Yaani watu ni aidha wanasahau au hawajui kilichotokea enzi za world trade centers.
Huyo abiria aliyewashuku yupo sahihi kabisa na anastahili pongezi ukizingatia alichokifanya US kwa Al-qaida karibuni.
Binafsi sioni uonevu wowote hapo.
 
Unafungua shauri dhidi ya action sahihi ya wasiojulikana??????
Ndio wamedhalilishwa ikiwemo kukosa flight ya hiyo siku! Kuna damages wamezipata haswa psychological damages
 
Yaani watu ni aidha wanasahau au hawajui kilichotokea enzi za world trade centers.
Huyo abiria aliyewashuku yupo sahihi kabisa na anastahili pongezi ukizingatia alichokifanya US kwa Al-qaida karibuni.
Binafsi sioni uonevu wote hapo.
Watu wachache wasiojua vzr dini ya kiislam wanasababisha wengine wote waogopwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…