Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ukweli mchunguNimekaa uarabuni aisee acha tuu hawa jamaa wasikie tuu wana roho mbaya sana ,tena ukute wewe si wa din yao,wabaguz siyo mchezo ,niliishia kuwala wanigeria,na wasomali uchwara ,ukimgusa mtoto wa kiarabu umekwisha,alafu umkute mwarabu ana hela ,anakua shetan kabisa ,ndio maana hawatakiwi wawe super power ,watatuangamiza kabisa
dini yao inawafundisha kuua watu wasio wa dini yao..
Hao maafisa usalama wamefanya jambo jema sana..tahadhari kabla ya hatari.
#MaendeleoHayanaChama
Ebu leta ushahidi hapa wa dada zetu huko uarabuni wanavyoteswa sana Tena sana Hadi wanauwawa. Leta hata mfano hapa wa wadada zetu kunyanyaswa huko west?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app