Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....
 
mi nadhani kama ndoa nimpango wa mungu endapo unampango wa kuoa au kuolewa muombe mungu akusaidia sio kumpa penzi,motto,tigo. pia vijana wengi haliziki Na mwanamke/Mme mmoja hivo wengi hawatimizi malengo yao ndoa tupunguze Tamaa jamani
 
Utabiri unaonesha utaolewa mda si mrefu!.....
 
Usiumize sana kichwa na moyo wako.....hutokeaga tu na Mara nyingi wanaume tu huku wakijiona wamechagua kweli kweli.
Mm nimeshashuhudia wanawake vimeo wa tabia wakiolewa tena na watu wastaarabu tu.....au wanawake mizigo wanapigwa ndoa tu.
Ishi upendavyo kwani ndoa haisakwi namna hiyo.
 
ila mademu wa kibongo sasa hivi mbadilike aise...maisha ya maigizo mno na kudanganyana hasa kwenye mitandao...alafu na kale kaulimbukeni ka kujifanya wakisasa..kila mtanadao upo na kuweka picha hasa za makalio..ni ushamba sana na wengi kuwafanya akina wema na kajala role model wenu...kwa kifupi ushamba na kutojua mnataka nini ni shida siku hizi...na wanaume kwa kuwa wanataka papuchi na unampelekea bure anamega baadae anaenda kutafuta msichana angalau atakua mama wa kulea watoto
 

Umejaaliwa neema za Allah bibie?
 
Unaweza ukafanya yote hayo,..lakini mimi naangalia yafuatayo
  1. unaniheshimu?
  2. Unahekima au ndo kubwabwaja bila mpangilio?
  3. Utanivumilia wakati wa shida au ndo pesa oriented?
  4. Unaweza kuplay role kama mama au ndo mambo ya watoto kulelewa na housegirl?
  5. Unawaza maendeleo ya familia au chako chako-changu chako?
  6. Uaminifu/Msimamo sio kila mwanaume unamchekea.
Ni hayo tu sina mengi...
 
Yaani yule asiyeshabikia mambo ya Beijing wallah anaolewa haraka sana...

Sasa mtu ajifanye yeye ndo m-Beijing mwandamizi... huyo ataisoma namba.....

Na wa hivyo huishiaga kusema sina shida ya kuolewa, YAANI I CAN MANAGE..... NA NDO HAO BADO WANAMENEJI MILELE AMINA.....

CC: tumboo, lara 1
 

Haswaa umenena,MTU mwingine hata Maji kunywa mpk aombwe,yet anatAka utii bila shuruti :what::what::what:
 

Kama una uhair na ndembendembe nidipu.
 

True dat!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…