Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Bila shaka wewe ni mrangi, mnajua sana maigizo
 
sijaona hapo kundi langu..sijui nakwama wapi yani[emoji16]!
 
Mimi nipo kundi moja, ndio tunazingua kwa sababu, unakuta mwanamke anakupenda hana mvuto. Na tunaongoza kupendwa na wanawake wasio na mvuto! Mpka kinyaa, Tunajuta kuzaliwa na sura za mama zetu

Hii ni kweli kabisa
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…