Ila uwe unajiongeza kwa kumpa hela mwenyewe bila kuombwa....mahitaji mbalimbali kama mwanamke sio unabweteka tu kwa vile unajua akuombi helaaaa [emoji23]Tatizo linalotokea kwetu hata kwenu linatokea Sana.
Mwanamke akimpata mwanaume mtulivu lazima atamsumbua Sana.
Binafsi nampenda mwanamke asieniomba hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo nitatulia na kuweka ndani.
mengineyo yatabaki mapungufu ya kiubinadamu.
Kuwa msafi
Usimpazie sauti mwanaume
Usiwe mjuaji Sana
Usiombe pesa
Ukifanya hvyo vyote na mwanaume asitulie basi atakua amelogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukibaki na mmoja kiama kitafika na nchi haijaa kama maandiko yasemavyo tuijaze nchi.Wakiwa hivyo na nyie mnatulia na kubaki na mmoja tu?
Majibu yatakuja mengi sana, but ni chemistry na bond, kama hakuna hivyo, mwanamke hata awe mzuri au tabia njema kiasi gani hatudumu wala kutulia naeMaana yake utaridhika na uliyemuweka ndani?
Mapungufu ya kiubinadamu kama uchepukaji e?
Yaah, nitaridhika nae.Maana yake utaridhika na uliyemuweka ndani?
Mapungufu ya kiubinadamu kama uchepukaji e?
Tukibaki na mmoja kiama kitafika na nchi haijaa kama maandiko yasemavyo maandiko tuijaze nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Vipi kiongozi... Umemfumania..??Hi guys,

usiombe hela.Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Na hutaelewa kamwe.Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Umegonga mule muleKua MTU wa kujishusha ,,supply papuchi bila ratiba, usiwe na tamaa za kuomba omba hela kama omba omba ,kuwa na bidii ya kazi, kua msafi ,wapende ndugu zangu, UKIWA NA HIVO VYOTE NI NADRA SANA YAAN NADRA SANA MWANAUME KUZINGUA TUNATULIA TULIIIIIIIIII
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa sawa