Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

kwa mimi nilikuwa napenda sana mwana mke ambae yuko kama mwanamke.
mwenye sifa zote za kike.
upole, unyenyekevu,utii, ukimya, mwenye upana wa fikra,mwenye kuheshimu, nk nk nk.

lakini ukweli yoote hayo unaweza kuyakuta kwa mwanamke fulani ilaa ukweli mchungu mwanaume huwa haridhiki moja kwa moja na mwanamke mmoja, na shuhudia hivyo mimi binafsi japo sina historia ya kuwa na mahusiano na wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti na kwa sasa niko kwenye ndoa ila changamoto ni kubwa ya kutaka kuchepuka japo sifanikiwi hilo jambo lakini kwa kweli mwanamme kwa mke mmoja daima nadhani ni mtihani mwingine tuliopwewa.
 
Tatizo linalotokea kwetu hata kwenu linatokea Sana.
Mwanamke akimpata mwanaume mtulivu lazima atamsumbua Sana.
Binafsi nampenda mwanamke asieniomba hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila uwe unajiongeza kwa kumpa hela mwenyewe bila kuombwa....mahitaji mbalimbali kama mwanamke sio unabweteka tu kwa vile unajua akuombi helaaaa [emoji23]
 
Kuwa msafi
Usimpazie sauti mwanaume
Usiwe mjuaji Sana
Usiombe pesa
Ukifanya hvyo vyote na mwanaume asitulie basi atakua amelogwa

Sent using Jamii Forums mobile app

-Naongezea
awe mcha Mungu
Awapende na kuwaheshim ndugu zangu
Mwepes kusamehe
Asinipangie masharti ya kusex( kwangu mimi mwanamke akishalivuruga hili hana ambalo nitaona ni sababu ya kuendelea kuwa nae)
Awe msiri(ajue kipi cha kusema na kipi si cha kusema kwa watu wa nje kama marafiki)
Asiwe mlevi
Hayo mengine tutavumiliana maisha yataendelea
 
Mi napenda mwanamke mwenye gubu maana ndio ananipa chanzo cha kutafuta mwingine ila asipokua na kosa sitapata sababu ya kutoka wakati nishazoea kuchepuka
 
Mimi naona sisi wanaume hisia na tamaa za kimapenzi hututawala sana kuliko upendo wa kweli wa moyoni tofauti na nyie wanawake.Mara nyingi mwanamke akiolewa au kuwa na mtu anaye mpenda huwa anatanguliza upendo kwanza.Sasa kama mwanamme akiangukia kwa 'naught girl' lazima adate tofauti na mwanamke asiye na mbwembwe/wala utukutu.Hao wanajuwa kucheza na hisia za mwanamme na kumsoma barabara!Sasa kupata majibu tunapenda wanawake wa aina gani naona ni swali gumu kidogo kwa sababu tunaweza kuwa na hao wasio na mbwembwe lakini tamaa zikakolea kwa hao wenye ujuzi wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?

Mimi nafikiri wanaume wote tunatofautiana Pia na kwa wanawake vivyo hivyo, hakuna vigezo constant ambavyo kila mwanamme Duniani anavitumia

Mfano mdogo Kanye west kamuoa kim kardashian ambaye mpaka video yake ya ngono ilivuja akiwa anafanya mambo ya wakubwa na jamaa mwingine lakini yeye akamuoa tu fresh

Kwahiyo hakuna vigezo kila mtu vile ambavyo moyo wake unamsukuma kufanya maamuzi
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Vipi kiongozi... Umemfumania..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom