Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Tukisema kataa ndoa, MUWE mnaelewa. Sasa ndoa Gani Mali Zote za mama!?
 
Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi

Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.

Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??

Bora hata muandike majina ya watoto wenu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mgawanyo wa mali basi sjaona utaratibu mzuri kama wa dini ya kiislamu aliouweka mola mwenyewe na sio ss wanadamu maana ndio umeona balaa hilo talaka kataka mwenyewe na mali igawanywe
 
Aaah sio sawa kukataa ndoa maana kama Wazee wako wasingeoana wewe ungepatikanaje na kujivunia una Wazee
 
Back
Top Bottom