Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Endelea kuota.Mimi siwezi kupigwa na kitu kizito. Nyinyi msio jiamini au hamuwaamini wapenzi wenu ndio mtapigwa na tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota.Mimi siwezi kupigwa na kitu kizito. Nyinyi msio jiamini au hamuwaamini wapenzi wenu ndio mtapigwa na tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmh aseeeIli swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??
Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc
Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..
Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Ni ka kike hako kasikusumbue.Nyie ndiyo waume ambao wake zenu wanachepuka,hadi michepuko yao inawahoji kuwa 'hivi ukirudi asubuhi,mumeo hatamaindi?,nao hujibu,,'ananiamini,we kua na amani'.
Tatzo serikali haitambui kuandika watoto[emoji4]Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi
Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.
Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??
Bora hata muandike majina ya watoto wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitambui kivipi? Mbona watu wanaandikisha watoto katika Mali zaoTatzo serikali haitambui kuandika watoto[emoji4]
Kibongo bongoHaitambui kivipi? Mbona watu wanaandikisha watoto katika Mali zao
Sent using Jamii Forums mobile app
dronedrakeRonaldo mjanaja sana,hataki funga ndoa na Georgina kuepuka usenge kama huu
Sasa pesa sisi hatuzitaki? Unajua shida inaanza na mwanamke kutengeneza fikra za kibinafsi kichwani kisha kuziundia mkakati hapo ndipo ujinga wao unapoleta shida.Ingekuwa vizuri mngefata mapenzi na pesa, sasa nyie wanawake Wengi mapenzi na sisi hamtaki mnataka pesa tu To yeye
Wizi mtupu kwenda zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nikiwa na mahabuba mbona anakimbia mwenyewe....mi kumwagiwa napenda mkuu[emoji1732]
Mala 1000 mali ipotelee kwa ndugu wa damu.. kuliko mtu mnekutana nae ukubwani.. anatapanya mali na wahuni wengine.. Wanawake wamekuwa wauaji sana kama kwa waune kwenye eneo la mali nina jamaa yangu alipigwa na kitu kizito.. hadi alikufa kwa msongo wa mawazo na kwa mateso makali.. mambo haya haya ya mali.. mwanamke alibeba karibia kila kitu, na watoto jamaa akapigwa biti kisheria kuwaona.. ohooo mkuu hujakutana na visaaa vya kutosha.. Hakim ni Mungu tu alimtonya kwa hisia
Your life path is your only experience. Wengine Wana ndugu wa ovyo sishangai.Kwangu Mimi mke ni first before all others.
🤣🤣🤣🤣🤭Wizi mtupu kwenda zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]