Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Apana mkuu mama angu ameish maisha ya kuvumilia sana asee had marehem mzee wangu alikuwa anasema mkitaka kuoa oeni mwanamke mwenye sifa za mama yenu maan amenvumilia san nilikuwa jeur nikitoka ad sku tatu ndo narud na maneno kibao yabaki( )

na una unazan n kwann wanasema hiv kwasabu wazaz wana maono ukitaka kuamin mzazi akikukataz jambo ww ukingangania utakiona alicho kuwa anajukataza kitajirudia

Mf bint yako akikuletea mchumba ake anae taka kumuoa kwa maelez na matendo unaeza ukaona uyu siy muoaji au ni mzenguaj na ukamuinya bint yako ndo hvohvo kwa wamama japo watatuachia uhuru wakuish na wenzetu ila wanatupa tahadhar.

We unafikir mama ake uyo mchezaj hakim kunavitu aliviona kwa mkwewe lakin akutaka kuingilia uhuru wao ila akamweka sawa mwanae wenda ndo hayo yametokea leo
Lkn suala la kuwa chombo cha starehe kwa baba yako usilipinge..

Lkn mkuu,mama yako angekuwa mwenye maadili hivi ange kufundisha kumuita baba yako MZEE badala ya kumuita BABA?
 
Kuna dada nimefahamiana naye miezi 3 nyuma aisee huyo kwangu ndio kavunja record ya kupiga mizinga. Kwakweli niseme tu nime surrender [emoji119][emoji119][emoji119].
Kodi ya nyumba, kuna mzigo anataka kusafirisha sijui nini huko, hela ya matumizi, simu imeharibika, mara kuna mzigo anataka kukomboa aisee... yaani ni kila siku.
Sasa huyu ukimuoa si ndio kama mke wa Hakimi. Nimepiga mara moja inatosha aisee. Yaani hana huruma na pesa yako kabisa hata umueleze unachopitia na real lakini haelewi yeye anachotaka ni pesa. Hivi kabla ya kufahamiana alikuwa anaishi vipi?
Nyie ndiyo mnawaendekeza acha wawanyooshee
Endelea kumpa pesa
 
Mbona mmenikalia kooni wamachame [emoji23]
Kwenye koo lako kuna kitu?
Tatizo wewe ni mjinga
Unaleta stor za vijiweni vya kahawa

Tumia akili kufikir acha kuchafua watu

Kijana unakua kama musiba alivyo kuwa anamchafua membe

Saiv anajuta
 
Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi

Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.

Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??

Bora hata muandike majina ya watoto wenu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Majina ya watoto haohao wanaopandikizwa sumu na mama zao kumsema baba yao
 
Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??

Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc

Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..

Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Miaka 500 wakat uo wewe ukowap
 
Lkn suala la kuwa chombo cha starehe kwa baba yako usilipinge..

Lkn mkuu,mama yako angekuwa mwenye maadili hivi ange kufundisha kumuita baba yako MZEE badala ya kumuita BABA?
Ujasikia kuna mahar nimepinga kuwa mother akuwa chombo cha starehe😀

Kuhus maadili ya mama angu ni mfano nilio kupa kutoka kwa matamshi ya mzee wangu kama kutuhasa namna ya kuishi.

Kumuita baba yangu MZEE ni heshima tu ambay ina mpasa nikama nmempa lank ya juu refer kwenye biblia watu wenye hekima waliitwa WAZEE e.g wazee wenye hekima, mfalme aliita wazee 9 wamshauri, wazee wa baraza ko nmelitumia kama heshima ya juu.

Pia aya ni maisha yangu kwa maneno na matamshi yangu ko soma elewa usisome kuchambua sana juu yangu😃
 
Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..
Inasikitisha sana...
 
Back
Top Bottom