Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Ni chombo cha starehe,hata mama yangu kwa baba ni chombo cha starehe.
Uhuru na haki sawa hizi vimewaharibu.
Ebu fikiria,utasikia mama anatamba kitaa kuwa amelea na kukuza binti yake na lazima kitaani wamkome,na hapa haongelei elimu na ubunifu bali anaongelea tako kubwa alilo nalo na nywele ndefu alizo nazo. Hili ni AJABU lingine walilo nalo wanawake wengi.
Aya bhana
 
Mapenzi ayapo kwa saiz tunaish kwa timing na ndio maana kama huna pesa mahusiano utayaskia kwenye bomba saiz ukimtongoza mwanamke kabla ajakupa mbususu ana hakikisha ameshakukamua vya kutosha
Wanakwangua kama vocha acha kabisa
 
Ni chombo cha starehe,hata mama yangu kwa baba ni chombo cha starehe.
Uhuru na haki sawa hizi vimewaharibu.
Ebu fikiria,utasikia mama anatamba kitaa kuwa amelea na kukuza binti yake na lazima kitaani wamkome,na hapa haongelei elimu na ubunifu bali anaongelea tako kubwa alilo nalo na nywele ndefu alizo nazo. Hili ni AJABU lingine walilo nalo wanawake wengi.
Jamii yeyote ambayo kaya zake zinaongozwa na wanawake Maadili huwa ni sifuri

Simpo tu angalia mabinti wengi wa kinyiramba
 
Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??

Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc

Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..

Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Ni somo kuntu, we angalia mke wa Bill Gates alichofanya, sasa anatesa na vijana anaowataka kwa pesa za mumewe. Kilichoniuma zaidi ni yule mchezaji nafikiri Emanuel Ebou. Hata mke wa Reginald Mengi waliachana kabla ya kifo chao kisa ni utajiri wa Mengi. Wanawake sazingine ni mashetani. Nampongeza Diamond amekaa kitahadhari sana, ukiwa tajiri mkubwa mwanamke anachowaza ni mali yako hakuna mapenzi. Angetamani azipokonye azitumie kwa uhuru anavyotaka. Mi nimewaogopa sana.
 
Ni somo kuntu, we angalia mke wa Bill Gates alichofanya, sasa anatesa na vijana anaowataka kwa pesa za mumewe. Kilichoniuma zaidi ni yule mchezaji nafikiri Emanuel Ebou. Hata mke wa Reginald Mengi waliachana kabla ya kifo chao kisa ni utajiri wa Mengi. Wanawake sazingize ni mashetani. Nampongeza Diamond amekaa kitahadhari sana, ukiwa tajiri mkubwa mwanamke anachowaza ni mali yako hakuna mapenzi. Angetamani azipokonye azitumie kwa uhuru anavyotaka. Mi nimewaogopa sana.
Diamond✔️
Ronaldo✔️
 
Ni hiv

Ni hivyo tu,hakuna kingine wanacho kitafuta.
 
Mapenzi ayapo kwa saiz tunaish kwa timing na ndio maana kama huna pesa mahusiano utayaskia kwenye bomba saiz ukimtongoza mwanamke kabla ajakupa mbususu ana hakikisha ameshakukamua vya kutosha
Kuna dada nimefahamiana naye miezi 3 nyuma aisee huyo kwangu ndio kavunja record ya kupiga mizinga. Kwakweli niseme tu nime surrender [emoji119][emoji119][emoji119].
Kodi ya nyumba, kuna mzigo anataka kusafirisha sijui nini huko, hela ya matumizi, simu imeharibika, mara kuna mzigo anataka kukomboa aisee... yaani ni kila siku.
Sasa huyu ukimuoa si ndio kama mke wa Hakimi. Nimepiga mara moja inatosha aisee. Yaani hana huruma na pesa yako kabisa hata umueleze unachopitia na real lakini haelewi yeye anachotaka ni pesa. Hivi kabla ya kufahamiana alikuwa anaishi vipi?
 
Ni kwa7bu km siyo mama yako alifanya kwa baba yako,basi washirika wake wamewafanyia waume zao. Mbinu za kivita ana zifahamu.
Apana mkuu mama angu ameish maisha ya kuvumilia sana asee had marehem mzee wangu alikuwa anasema mkitaka kuoa oeni mwanamke mwenye sifa za mama yenu maan amenvumilia san nilikuwa jeur nikitoka ad sku tatu ndo narud na maneno kibao yabaki( )

na una unazan n kwann wanasema hiv kwasabu wazaz wana maono ukitaka kuamin mzazi akikukataz jambo ww ukingangania utakiona alicho kuwa anajukataza kitajirudia

Mf bint yako akikuletea mchumba ake anae taka kumuoa kwa maelez na matendo unaeza ukaona uyu siy muoaji au ni mzenguaj na ukamuinya bint yako ndo hvohvo kwa wamama japo watatuachia uhuru wakuish na wenzetu ila wanatupa tahadhar.

We unafikir mama ake uyo mchezaj hakim kunavitu aliviona kwa mkwewe lakin akutaka kuingilia uhuru wao ila akamweka sawa mwanae wenda ndo hayo yametokea leo
 
Ni somo kuntu, we angalia mke wa Bill Gates alichofanya, sasa anatesa na vijana anaowataka kwa pesa za mumewe. Kilichoniuma zaidi ni yule mchezaji nafikiri Emanuel Ebou. Hata mke wa Reginald Mengi waliachana kabla ya kifo chao kisa ni utajiri wa Mengi. Wanawake sazingize ni mashetani. Nampongeza Diamond amekaa kitahadhari sana, ukiwa tajiri mkubwa mwanamke anachowaza ni mali yako hakuna mapenzi. Angetamani azipokonye azitumie kwa uhuru anavyotaka. Mi nimewaogopa sana.
Diamond alishawambia hata nyumba ya Madale ni ya mama, na jamaa hafanyi jambo lolote pasi na mama yake kutia sign! Cristiano Ronaldo na yeye anamuhusudu mama yake kupita maelezo! Ameshatambua kwamba tofaut na mama wengine ni wachumia tumbo tu!!
 
Naona umejiita jina la Mwamba
 
Back
Top Bottom