Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nadhani inabidi mahakama zetu ziingize hiyo hukumu kwenye hukumu zake hapa nchiniHiyo imekaa vyema maana wanataka 50/50 wasioweza kuitendea haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani inabidi mahakama zetu ziingize hiyo hukumu kwenye hukumu zake hapa nchiniHiyo imekaa vyema maana wanataka 50/50 wasioweza kuitendea haki
Mzee wapi, kapenda unafikiri anaona sasa 🤣🤣🤣 hata ebou alipenda akawa tayari kwa lolote kwa mke wake.. alikuwa ana diss hata miamba wengine. Ila game lilipo badirika ndio alijua hakujua.. anacheza na niniMpe hi mzee wako
Kwa tz ukipata mtoto aliokulia maisha ya kikawaida ya kiswahili na hajasoma sana mnaweza enjoy kiasi, na ukiwa dominant ukamshape unavyotaka basi umeula.Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.
mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
Mwanamke mtumie km kitotolesheo cha vifaranga na uikiangalia kwa makini,ni kweli mama yangu angezingua kwa baba,basi yy kutumika km kitotolesheo ilikuwa sahihi.Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??
Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc
Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..
Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Wachache sana wengi wanavuta midomo hao mithili ya kibuaUkimpenda mtu mbona 50/50 utaitendea haki.
Kweli kabisa hawataki hata mizani ibalance wao ni pesa tuIngekuwa vizuri mngefata mapenzi na pesa, sasa nyie wanawake Wengi mapenzi na sisi hamtaki mnataka pesa tu To yeye
WalimunyoooooooshaaMzee wapi, kapenda unafikiri anaona sasa 🤣🤣🤣 hata ebou alipenda akawa tayari kwa lolote kwa mke wake.. alikuwa ana diss hata miamba wengine. Ila game lilipo badirika ndio alijua hakujua.. anacheza na nini
Itachukua mda sanaNadhani inabidi mahakama zetu ziingize hiyo hukumu kwenye hukumu zake hapa nchini
Siyo mbaya,uzuri ipoItachukua mda sana
Acha ujinga wenu mnajificha kwenye mgongo wa watotoMama nae ni binadamu kama wengine lolote linaweza tokea. Bora hata uwaandike watoto wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna mifano mingiii sana nzee.. tunantumia huyo mwamba kwakua ni maarufu ila wapo wengi sana, na wengine hata walikufaa na misongo ya mawazo kwasababu ya hao viumbe wa kike.. mwanamke kuishi nae ni kama umefuga simba pori au pitbull mda wowote ana kujeruhi mfugaji 🤣🤣🤣Walimunyoooooooshaa
Hata hao wasomi ukimpata wa Ubavu wako pepo unaanzia kuiona hapa hapa.Kwa tz ukipata mtoto aliokulia maisha ya kikawaida ya kiswahili na hajasoma sana mnaweza enjoy kiasi, na ukiwa dominant ukamshape unavyotaka basi umeula.
Kuna jamaa yangu alinambiaga anarudi bush kuoa, hio ilikua 2015. Kaenda kule kamwambia mama ake anataka mke mama mtu akabahatisha kabinti ndo kamefeli form 4 mwaka wa nyuma yake. Chap dem akaelekezwa jamaa akamchukua kamleta town kwanza na 2017 wakarudi kwao kufunga ndoa. Kiukweli ni kati ya watu nnaowajua wanaofurahia sana ndoa zao, hata ukiwaona tu utajua. Kwanza mke wake ukiwa unaongea nae kila mara lazima amsifie mume wake. Kuna watu wana bahati ila sie wenye nyota ya hakimi ndo inabidi tutumie akili saaaana
Wee naweeAcha ujinga wenu mnajificha kwenye mgongo wa watoto
Hapana haitakiwi
Watoto siyo kigezo kwangu,wakileta ujinga dawa ipoAcha ujinga wenu mnajificha kwenye mgongo wa watoto
Hapana haitakiwi