Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Kuna uzi flan nikiweka kuhus sheria za ndoa kufanyiwa marekebisho lakin nahs wali ushikiria:
Iko hiv wanawake wa sasaiv wamekuwa wanakasumba moja yakuto kusikiliza wanalotaka liwe,wanapenda sana kuish singo mother wakiamin awapat aza yoyote
Wanahamin ata angetafta mwanaume yy akizngua mar ztagawanywa ala akitafuta yy na akazngua mari zinabak kwakwe wakiamin mwanaume anaish katka har yoyote ndo maana unaona wanaume weng leo ni ma hopeless,stress kibao n.k
Asilimia kubwa ya wanawake leo wanakuja kuish kwa mwanaume kwa lengo flan na wala siyo upendo ndo maana unaona usaliti n mwing kwa wanawake yan sasaiv ukitafuta nyuz za wanaume kusalitiwa n nying kuliko za maendeleo.
NDIYO MAANA NKASHAUR WANAUME MALI ZETU ANDIKISHEN MAJINA YA MAMA ZENU IYO NDO NJIA RAHIS YA KUKUFANYA UISHI BILA STRESS NA MAGONJWA YA SUKAR NA BP
Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.

mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
 
Ndo hivo, mie kuna kidem kumenizalia huwa naspend nacho muda mwingi nikiwa likizo, anakaa kwenye nyumba yangu lkn nikiwa pale kuna siku naweza kuamka saa nane usiku nikawasha baby woka yangu huyo. Narudi kesho saa tano. Siku moja akahoji nikampiga biti moja hadi akatulia. Pale home anakaa na mdogo wangu wa kike napaties kila info, na mwaka huu nitafunga cctv.

Jinsia yyt ya kike haina haki ya kuelewa mishe za me, wakikuelewa tyr watakudharau. Hata kama huna hela ww jitahidi usisomeke tu
Bado hamjakuwa. Still boys mind...

Mkiwa wakubwa mtaelewa how the game goes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Ile current ruling ya mahakama Kuu ya Kenya kuwa kwenye kugawana baada ya ndoa kuvunjika hakuna mambo ya:
1)Sijui alikufulia nguo

2)Sijui alikuuguza

Kikubwa ukitaka mgawanyo ni lazima Kila mtu aonyeshe risti ya kile alichonunua ndani
Hiyo imekaa vyema maana wanataka 50/50 wasioweza kuitendea haki
 
Bado hamjakuwa. Still boys mind...

Mkiwa wakubwa mtaelewa how the game goes

Sent using Jamii Forums mobile app
SIku ukapigwa tukio, ndio utajua hizi bi boys mind au taadhari ... nimekaa na mzee wangu ana zaidi ya mika 80.. anamwaga darasa la taadhari ya kuishi na wanawake hasa katika kizazi hiki cha tamaa na ukaidi..

C c Emmanuel Eboue alikuwa amepanda na kuamini sanaa. Kidogo ajiue ..
 
SIku ukapigwa tukio, ndio utajua hizi bi boys mind au taadhari ... nimekaa na mzee wangu ana zaidi ya mika 80.. anamwaga darasa la taadhari ya kuishi na wanawake hasa katika kizazi hiki cha tamaa na ukaidi..

C c Emmanuel Eboue alikuwa amepanda na kuamini sanaa. Kidogo ajiue ..
Mpe hi mzee wako
 
Back
Top Bottom