Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
💪💪💪💪💪💪💪💪💪Ndo hivo, mie kuna kidem kumenizalia huwa naspend nacho muda mwingi nikiwa likizo, anakaa kwenye nyumba yangu lkn nikiwa pale kuna siku naweza kuamka saa nane usiku nikawasha baby woka yangu huyo. Narudi kesho saa tano. Siku moja akahoji nikampiga biti moja hadi akatulia. Pale home anakaa na mdogo wangu wa kike napaties kila info, na mwaka huu nitafunga cctv.
Jinsia yyt ya kike haina haki ya kuelewa mishe za me, wakikuelewa tyr watakudharau. Hata kama huna hela ww jitahidi usisomeke tu