Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

issue ni kwamba, mtu anabadilika katikati
mwanzo alificha kabisa zile tabia za ugold digging, mbeleni ndiyo zinaanza chomoza,

fukufuku, lilianza kipindi jamaa kapata shutuma za ile kesi, ndiyo akajua rangi ya halisi ya bibi wake, kumbuka zilikua ni shutuma(hakuna proof) na bibie alikuwa yuko 100% upande wa victims

na hapo tayari mshasainishana ule ujinga ujinga
hapo ndipo unaposanuka kimya kimya
Sawa mkuu. Je ni sahihi kutompa chochote mke ikiwa mnatengana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wife ni kama msela, sio damu moja anytime tuna mwagana.. ila familia haiwezi kukumwaga hata ukiwa chizi.. ila mke ataolewa.. fungwa miaka 20.. kama utamkuta mke wako single.. ila famili yako utaikuta na upendo ule ule.. ishini nao kwa akili..
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??

Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc

Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..

Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Miaka 500? Wee miaka 59 ijayo tuu watu tutakuwa tunagegedana hadhari kama mbwa tuu. Ndoa itakuwa zilipendwa
 
Back
Top Bottom