Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Hapana mkuuu. Mtu WA namna hiyo kwanini umuoe??? Kwann uishi nae???

Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wana badirika haraka sana.. mwanamke anaendeshwa mno na mazingira , ndani ya miaka mingi anaweza akawa poa sana.. ila akibadirishwa na mazingira ndio utajua hujui.. tuishi nao kwa akili.. na Hakim kaonesha namna ga kuishi nao kwa akili
 
Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi

Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.

Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??

Bora hata muandike majina ya watoto wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mzazi ndio binadamu pekee duniani ambae hawez kukusaliti... Ova
 
Hapana mkuuu. Mtu WA namna hiyo kwanini umuoe??? Kwann uishi nae???

Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
issue ni kwamba, mtu anabadilika katikati
mwanzo alificha kabisa zile tabia za ugold digging, mbeleni ndiyo zinaanza chomoza,

fukufuku, lilianza kipindi jamaa kapata shutuma za ile kesi, ndiyo akajua rangi ya halisi ya bibi wake, kumbuka zilikua ni shutuma(hakuna proof) na bibie alikuwa yuko 100% upande wa victims

na hapo tayari mshasainishana ule ujinga ujinga
hapo ndipo unaposanuka kimya kimya
 
Roho mbaya saaana hii[emoji23][emoji23][emoji23]

Imagine mke anakutunza aannakufulia anakupikiaaa then umnyime urithi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mama yangu alinifulia

Mke ni mmoja ila watoto yatima ni wengi

Mungu atanibariki Kwa kuwasaidis walio wengi over one selfish golddigger
 
Mke amenikuta na ndugu zangu,wife second home family first
Wife ni kama msela, sio damu moja anytime tuna mwagana.. ila familia haiwezi kukumwaga hata ukiwa chizi.. ila mke ataolewa.. fungwa miaka 20.. kama utamkuta mke wako single.. ila famili yako utaikuta na upendo ule ule.. ishini nao kwa akili..
 
Wanawake wana badirika haraka sana.. mwanamke anaendeshwa mno na mazingira , ndani ya miaka mingi anaweza akawa poa sana.. ila akibadirishwa na mazingira ndio utajua hujui.. tuishi nao kwa akili.. na Hakim kaonesha namna ga kuishi nao kwa akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom