Jeong do jeon
Senior Member
- Dec 26, 2018
- 122
- 150
Na kama watoto si wako je?, Bora jina la bi mkubwa.Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi
Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.
Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??
Bora hata muandike majina ya watoto wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app