Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Tukisema kataa ndoa, MUWE mnaelewa. Sasa ndoa Gani Mali Zote za mama!?
 
Katika mgawanyo wa mali basi sjaona utaratibu mzuri kama wa dini ya kiislamu aliouweka mola mwenyewe na sio ss wanadamu maana ndio umeona balaa hilo talaka kataka mwenyewe na mali igawanywe
 
Aaah sio sawa kukataa ndoa maana kama Wazee wako wasingeoana wewe ungepatikanaje na kujivunia una Wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…